Jumamosi, 3 Desemba 2011

PICHA YA LEO; SIFA ZA KIJINGA, SASA HAPO ANASAIDIA NINI ILI KULINASUA GARI ZAIDI YA KUHATARISHA MAISHA YAKE!!?

Mkazi wa Iramba akihatarisha usalama wake kwa kuingia chini ya gari la Mbunge wa jimbo la Iramba Magharibi, Mwigullu Lameck Nchemba kulinasua gari hilo lililokuwa limekwama kwenye mto Ndurumo Kata ya Kidaru Mkoani Singida juzi. (Picha na Abby Nkungu)

Maoni 1 :

  1. Enyi Wabunge. Mjuwe ni jinsi gani mnavyopendwa pamoja na magari yenu! Shughuli zenu huko Bungeni zathaminiwa sanaaaa!

    JibuFuta