Alhamisi, 29 Desemba 2011

MALKIA WA MIPASHO AL ANISA HADIJA KOPA KUTUMBUIZA NACHINGWEA LINDI MWAKA MPYA TAREHE 02.



Malkia Hadija Kopa.


Kundi zima la TOT Taarab chini ya uongozi wa Al Anisa Khadija Bint Kopa linatarajiwa kutumbuiza mjini Nachingwea siku ya pili baada ya mwaka mpya kuingia yaani tarehe 02/01/2012 ikiwa ni shamrashamra za kuukaribisha mwaka 2012 katika Ukumbi maarufu wa Nachingwea Resort (NR).Wakati wakazi wa Nachingwea wakisubiri kwa hamu kumuona Malkia na kundi lake la TOT, kwa sasa Hadija yupo katika ziara ya nchi kadhaa za Ulaya, lakini kwa mujibu wa waandaaji wa ziara hiyo,wamesema hilo lisiwatishe na wana uhakika kuwa Hadija atakuwepo siku hiyo ili kuwaburudisha.

Maoni 2 :

  1. Aje Afrika Kusini waimbe na pachamtu, Sibongile Kumalo (maandishi ya Kizulu "Sibongile Khumalo")

    JibuFuta
  2. Sasa Sibongile Kumalo anaimba taarabu au Kwaito, tutafute mapromota wazuri ili tuwakutanishe hawa.

    JibuFuta