Jumapili, 4 Desemba 2011

VENGU AONDOLEWA ICU ARUDISHWA WODI MWAISELA. TUMUOMBEE JAMANI.


AFYA ya mchekeshaji wa kundi la Orijino Komedi linalorusha michezo yake kupitia kituo cha runinga cha TBC1 cha jijini Dar es Salaam, Joseph Shamba a.k.a Vengu (pichani) ambaye alikuwa anapata matibabu akiwa katika chumba cha wagonjwa mahututi (ICU) katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, inaendelea vizuri baada ya kutolewa ICU na kupelekwa katika wodi ya Mwaisela ili kuendelea na matibabu

Maoni 1 :

  1. Unajuwa maajabu ya maisha: ukiwa nani au nani nawe unazo tu vita vyako kupigania katika maisha yako!!! Naikumbuka sana Muhimbili kwani ndipo nilipojifunza kuyafumba macho ya marehemu: amu yangu alifia huko nikiwa naye mule nadhani hiyohiyo wodi ya Mwaisela!


    Kuhusu Bwana "Vengu"

    Atapona tu! Nasi tunamwombea augue pole sana kwani bado tunahitaji tiba kwa vichekesho vyake!

    JibuFuta