Watu wawili wahofiwa kufa kwenye vurugu za kupingwa kuonewa kwa kiongozi wa upinzani Kizza Besigye
Besigye akiamrishwa kushuka kwenye gari

Alipokaidi kioo kilivunjwa na gesi ilipulizwa ndani ya gari

Mlinzi wa Besiye akidhibitiwa
Polisi jeshi wakiwa kwenye doria.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni