UJANJA kwa WENGINE ni ule wa KUKUKIMBIA wakistukia UMEKWAMA.
Na kitu kizuri ni kwamba,...
....
Swali:
- SI unajua hapa DUNIANI hakuna akwamaye kwa kuwa hata nukta ni MWANZO wa sentensi NYINGINE,...
...hasa ukiamua kutokwamishwa na NUKTA?
Ndio,...
..... akukimbiaye,...
.... huyo kakupunguzia MZIGO.:-(
Swali:- AU?
Ni wazo tu hilli BINGWA!:-(
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni