Ijumaa, 25 Mei 2012

PICHA YA LEO; MSAFIRI KAFIRI.


Punda afe mzigo ufike, unaikumbuka methali hii? Bahati yao ni kwamba gari ni zuri tu na barabara pia ni nzuri, sasa tatizo sijui ni nini? Anataka kuharibu gari lake maana kalichoka ili anunue jingine!!! sijui, au anabana mafuta kwa kuogopa kurudiarudia safari, mzigo ukifika faida njenje kwa mwenye mzigo ila ni hasara ya service ya gari kwa mwenye chombo. Tutafakari  kwa pamoja je haya ni matumizi sahihi ya nyenzo zetu tulizonazo zinazotusaidia kazi mbalimbali!!?

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni