Jumamosi, 12 Mei 2012

KABLA HUJAFA HUJAUMBIKA, KIJANA ACHOMOLEWA CHINI YA LORI AKIWA MZIMA ILA NA MAJERAHA MABAYA.


Wananchi wakiwa wamemzunguka kijana aliyenusurika kufa baada ya kuchomolewa uvunguni mwa lori mjini Chalinze.

Akiwa amekaa chini kwa maumivu.

Akisaidiwa na Askari wa usarama barabarani (Trafiki)

Baadhi ya watu wakiwa wanaliangalia Lori hilo huku wakiwa hawaani kama kijana huyo amenusurika kufa.
Mfanyabiashara ndogo ndogo  wa Chalinze mjini ambaye jina lake halikuweza kupatikana jana alipasuka kichwani na kunusurika kufa baada ya kuchomolewa katika taili la Lori ambalo linafanya shughuri ya kutengeneza barabara, 
Tukio hilo lilitokea jana majira ya saa saba mchana stendi kuu ya mabasi yaendayo mikoani karibu na njia panda ya kwenda Tanga na Morogoro mjini Chalinze wakati kijana huyo alipo kuwa akijalibu kuvuka barabara kubwa ndipo alipotokewa na tukio hilo.

Chanzo:http://www.globalpublishers.info/

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni