Jumatatu, 7 Mei 2012

Mh. MKAPA AMETOA USHAHIDI MAHAKAMANI LEO KESI YA MAHALU.

Rais Mstaafu Benjamin Mkapa akitoka katika Mahakama ya Hakim Mkazi Kisutu Dar es Salaam, baada ya kutoa ushahidi wake katika  kesi ya uhujumu uchumi wa zaidi ya euro milioni 2, sawa na sh bilioni 3 inayomkabili aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Italia, Profesa Costa Mahalu, na Grace Martin. Pia Mh. Kikwete anatakiwa nae awepo Mahakamani kutoa ushahidi, Katiba itamruhusu kuingia Mahakamani akiwa madarakani au watamsubiri amalize mda wake wa kuwa madarakani!!!?

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni