Jumatatu, 9 Januari 2012

PICHA YA LEO;WANAJUA MADHARA YAKE!!?

Picture
Wananchi wakiwania kuchota mafuta toka katika gari ya mafuta iliyoaguka huko Iringa maeneo ya Ihemi  barabara ya Mbeya -Dar es salaam.
Picture
Walinda usalama nao walikuwepo lakini hawakuchukua hatua yoyote, hatujifunzi kutokana na makosa kwa nini!!? Picha toka francis gordwin blog.

Maoni 2 :

  1. Namuonea huruma mwenye kubeba mtoto...atakimbiaje? Jina lake lake lingine ni Mkaa!

    JibuFuta
  2. Huyo jina lake lingine laweza kuwa mkaa au majivu ghafla tu ikitokea ile kitu inaitwa fire au moto.

    JibuFuta