Jumamosi, 17 Agosti 2013

UNAMKUMBUKA TRAFIKI FEKI ALIYEKAMATWA JUZI KINYEREZI, ANASEMA NJAA NDIYO IMEPELEKEA AJIFANYE ASKARI.

 

James Juma Hussein(45) Askari Trafiki feki aliyekamatwa juzi, kumbe nguo zake hazikuwa sawa ndio maana Ofisa wa Polisi alimstukia kuwa sio wa kwao. Kofia haiko sawa na vifungo vya shati si vya chuma vyenye nembo polisi.

 

Usaili ukiendelea pamoja na kupigwa picha.
Afande Hussein akiwa kituoni Sitakishari kwa mahojiano zaidi hapo juzi.

Credits; Babamzazi.com

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni