Alhamisi, 8 Agosti 2013

JESHI LA MAGEREZA LIMECHAGULIWA KUWA NI MSHINDI WA JUMLA KATIKA MAONESHO YA SIKU YA WAKULIMA TANZANIA HAPO JANA HUKO NZUGUNI DODOMA.

Jeshi la Magereza lawa Mshindi wa kwanza wa ujumla katika Maonyesho ya Wakulima Kitaifa (Nane nane) jijini Dodoma.
Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Jeshi la Magereza, Mlasani Kimaro akinyanyua Kikombe  cha Ushindi wa Jumla katika Kilele cha Maonesho ya Nane Nane Kitaifa yaliyofanyika Nzuguni Dodoma na yamefungwa rasmi na Balozi Seif Iddi, Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar.
 
(Picha na Lucas Mboje wa Jeshi la Magereza).

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni