Jumanne, 6 Agosti 2013

MABARAZA YA KATIBA YAWILAYA YAENDELEA NA MAJADILIANO SEHEMU MBALIMBALI ZA TANZANIA, BAADYE NI BUNGE MAALUM LA KATIBA HATIMAYE KURA ZA MAONI WANANCHI WOTE.


Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Bw. Humphrey Polepole akiongea na wajumbe wa Baraza la Katiba la Wilaya ya Masasi katika mkutano uliofanyika wilayani humo hivi karibuni.

Mjumbe wa Baraza la Katiba la Wilaya ya Tandahimba Bw. Bakari Saidi Chibuyu akitoa maoni kuhusu Rasimu ya Katiba katika mkutano uliofanyika wilayani humo hivi karibuni.

Wajumbe wa Baraza la Katiba la Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba wakiwa mkutanoni kuijadili Rasimu ya Katiba hivi karibuni wilayani humo.

Mjumbe wa Baraza la Katiba la Wilaya ya Tunduru Bw. Fadhil Hassan Msham akitoa maoni kuhusu Rasimu ya Katiba katika mkutano uliofanyika wilayani humo hivi karibuni.

Mjumbe  wa Tume ya mabadiliko ya katiba , Bw. Mohammad  Y. Mshamba  (aliyesimama )  akifutilia majadiliano ya Wajumbe wa Baraza la Katiba la Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela, mkoani Mwanza.

Mbunge wa Kwimba, Mhe. Richard Ndassa akisalimiana na Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Bw. John Nkolo kabla ya kuanza kwa mkutano wa Baraza la Katiba la Wilaya ya Kwimba hivi karibuni. Katikati ni Mjumbe mwingine wa Tume, Bw. Mohammed Mshamba

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni