Ijumaa, 23 Agosti 2013

KOMREDI MUGABE AMEAPISHWA JANA HUKO HARARE ZIMBABWE KUONGOZA TENA NCHI HIYO KWA AWAMU NYINGINE. RAIS KIKWETE ALIHUDHURIA SHEREHE HIZO.

Rais RobertMugabe akisoma kiapo chake cha uaminifu kwa Nchi yake mbele ya Jaji Mkuu wa nchi hiyo hapo jana.
 Rais mugabe akisalimiana na viongozi waalikwa mara alipowasili katika Uwanja wa michezo wa Harare hapo jana.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza Rais Robert Gabriel Mugabe katika uwanja wa Taifa wa michezo wa Harare, Zimbabwe, katika sherehe za kuapishwa Rais huyo Agosti 22, 2013.
Picha kwa hisani ya Ikulu

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni