Alhamisi, 22 Agosti 2013

STAA WA FILAMU YA PRISON BREAK ATANGAZA HADHARANI KUWA YEYE NI SHOGA, BALAA!!! NI WENTWORTH MILLER,

 

'I'm a gay man': Prison Break star Wentworth Miller comes out as he takes a stand against Russia's homophobic laws.Must decline: Wentworth Miller, shown in September 2010 at a film premiere in Japan, announced he was gay on Wednesday as he declined an invitation to a Russian film festival due to that country's discriminatory laws against gays Wentworth Miller, akiwa katika Tamasha Kuu la Filamu huko shown in September Japan 2010.

Msanii Nguli wa maonesho ya Televisheni Wentworth Miller ametangaza hadharani pasipo kificho kuwa yeye ni 'shoga' jana Jumatano ili kuonesha kuwaunga mkono wapigania haki za mashoga  na wenye mahusiano ya jinsia moja huko Urusi.
Staa huyu wa 'The Prison Break' amekataa mwaliko toka Tamasha la Filamu la Urusi baada ya serikali ya Urusi kutunga sheria nyingi kali kuzuia mahusiano ya kishoga na jinsia moja.
Staa huyu mwenye umri wa miaka 41 sasa amekuwa akiombwa kuhudhuria St. Petersburg International Film Festival.
'Nikiwa kama shoga, lazima nikatae,' aliandika katika majibu yake, ambayo yaliwekwa kwenye vyombo vya habari na kikundi cha Kampeni ya kutetea haki za mashoga cha GLAAD.
 
Television star: Wentworth, shown at left in 2005 on Prison Break and right in 2010 in Resident Evil: Afterlife, was championed for taking a stance Television star: Wentworth, shown at left in 2005 on Prison Break and right in 2010 in Resident Evil: Afterlife, was championed for taking a stance
 
Television star: Wentworth, mwaka 2005 katika  Prison Break na kulia ni mwaka 2010 katika filamu ya Resident Evil. 

Muigizaji huyu amepongezwa sana na jamii ya wapigania haki za mashoga kote Duniani kwa msimamo wake.
Major announcement: Wentworth, shown in March 2008, said he could not in good conscience attend the Russian film festival
Moja ya picha ya matangazo ya Wentworth, hii ilikuwa March 2008.
 

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni