
Fatma na mama yakehapa kawasili kijijini, anashangaa mazingira.
Watoto wa kijijini Mandawa Nachingwea wamekuja kushangaa wageni toka mjini.
Usafiri uliowaleta wageni.

Siku ya pili, amejichanganya na wenzie wanacheza.
Hapa wanaendelea na michezo, keshazoea mazingira.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni