KARIBU KATIKA BLOGU HII YA KUELIMISHA, KUBURUDISHA NA KUONYA KUPITIA MADA MBALIMBALI NA HATA PICHA. ONGEZA MAHUSIANO KWA KUJUMUIKA NA WENZIO HAPA.UNAWEZA TUMA PICHA NA MAELEZO KWA ANUANI HII;mkuu74@gmail.com
Jumapili, 25 Desemba 2011
Alhamisi, 22 Desemba 2011
HAPPY BIRTHDAY MAMBOBADO!!!!!! BLOG YATIMIZA MWAKA MMOJA TANGU IANZISHWE, HONGERA KWA WADAU WOTE WANAOTEMBELEA HAPA KWA KUTENGENEZA JAMII YETU ILIYOSIMAMA IMARA.
Kama mtoto huzaliwa na kisha baadae kukua na kupitia hatua kadhaa za mabadiliko, basi kijiwe chetu kilianza hivyo mwaka mmoja uliopita kama sehemu binafsi ya kujifurahisha kwa mitundiko ya nyumbani na marafiki zetu, lakini baadae kikakua na kujumuisha mambo mengi ya kijamii.
Shukurani kwenu wote mliobahatika kuona kijiwe hiki kwa njia yoyote ile na kufanya wengi zaidi Duniani kote wakifahamu na kuongeza idadi ya kurasa zinazofunguliwa na kufanya jamii yetu ikue kwa kasi, wachache kati yao si vibaya nikiwataja Kamanda Phili wa Manyanya wa kule bondeni kwa Madiba, Pastor Kalu toka Mbeya, Dada Yasinta(Kapulya Mdadisi) akiwa na shemeji yetu huko Ughaibuni, Simon Kitururu Mzee wa Falsafa ndani ya Neno, Israel Saria wa BBC, Emu Three, Rehema Fussi wa Dar, Flora Talent, Michuzi mkubwa.
Huyu dogo anaitwa Omari, naye ni mdau maana huwa anapenda kushika vifaa vyangu vya kazi na kunifanya nimbembeleze aache ili niendelee na kazi, Maoni yenu ni muhimu ili kuboresha Kijiwe chetu, mwisho tumshukuru Mungu kwa kutupa uwezo wa kuendeleza mambo yetu tunayoyapenda mpaka tukafanikiwa hivi.
Kamanda Hansom Omari akiwa katika pozi anatafakari, nimechelewa kuweka maelezo haya sababu ya shida ya umeme huku kwetu mikoa ya Lindi na Mtwara, tusameheane,tupo pamoja msijali,Tchao.
Jumatano, 21 Desemba 2011
WANASIASA WAILAUMU TAKUKURU
WANASIASA wameinyooshea vidole Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Tanzania
(TAKUKURU), wakitaka wajisafishe ili iaminike na kurudisha heshima yake katika jamii.
Wakichangia mada iliyotolewa na Mkurugenzi wa Elimu kwa Umma kutoka Takukuru, Mary Mosha katika mafunzo ya viongozi wa Baraza la Vyama vya Siasa kuhusu Uongozi, Uwajibikaji na Utawala Bora, wanasiasa hao walisema kuwa Takukuru ni chanzo cha rushwa nchini.
Akichangia mada hiyo, Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi, Nape Nnauye alisema kwa sasa Takukuru harufu yao mtaani siyo nzuri.
Nape alisema katika hata mambo ya kawaida yanayoonekana yana mazingira ya rushwa ikiwemo miradi ya maendeleo, maofisa wa Takukuru wamekuwa wakidai wanaendelea na uchunguzi huku wananchi wakizidi kuwalalamikia.
“Takukuru harufu yenu mtaani kwa sasa siyo nzuri, wakati mwingine inaonekana wazi mnatumika kusafisha watu, sasa itafika mahali watu wataona Takukuru ni mzigo maana wanalipwa fedha za walipa kodi, lakini kazi yao haionekani,” alisema Nape.
Alisema watu wamekuwa wakiona rushwa ni ya uchaguzi wakati kuna rushwa mbaya zaidi kwa
baadhi ya watumishi kutumia rasilimali pasipo mpangilio au kwa malengo ambayo hayakukusudiwa bila kuchukuliwa hatua zozote.
“Kwa sasa tunaona rasilimali hazitusaidii kwa sababu wanaowajibika kuzisimamia hawatimizi wajibu wao, inatupasa kila mmoja wetu kutimiza wajibu wake kwa sababu Takukuru mkiendelea hivi wananchi watawachukia sana,” aliongeza Nape.
Mwenyekiti wa Baraza hilo ambaye pia ni Mwenyekiti wa Taifa wa chama cha NLD, Dk. Emmanuel Makaidi, alisema adui mkubwa wa rushwa nchini ni Takukuru yenyewe kwa kuwa uwajibikaji wao ni mbovu na viongozi wake hawatekelezi majukumu yao ipasavyo.
Kwa upande wake, mwanasiasa mkongwe nchini, Lifa Chipaka ambaye pia ni Mwenyekiti wa Taifa wa TADEA, alisema rushwa haipo tu ndani ya vyama, bali hata ukwepaji wa kodi unaofanywa na wafanyabiashara ni rushwa.
Chipaka alisema watumishi wa Takukuru wamekuwa wakilipwa fedha nzuri, wakipewa magari ya kifahari ya kutembelea na nyumba nzuri, lakini hakuna wanachokifanya katika jamii.
Mapema, akitoa mada yake, Mosha alisema kama vyama vya siasa visipodhibiti rushwa ndani ya vyama vyao, vitashindwa kudhibiti hata nje ya vyama na hivyo kusababisha kupatikana viongozi wasiofaa.

Ms Mary Mosha, Mkurugenzi wa Idara ya Elimu kwa Umma Takukuru.

NEWS ALERT!!!!!! JIJI LA DAR LAKUMBWA NA MAFURIKO MABAYA ASUBUHI HII, MAGARI YA SAFARI ZA MIKOANI YAKWAMA HUKO MBEZI BAADA YA DARAJA MOJA KUFURIKA MAJI HADI JUU YA NJIA, MABIBO RELINI HAKUPITIKI, MAGARI YASOMBWA,WANANCHI WACHUKUE TAHADHARI.
Wananchi wa eneo la Jangwani Dar es salaam wakiwa barabarani wakikimbia nyumba zao ambazo ziliingiliwa na mafuriko ya maji jana kutokana na mvua zinazonyesha kuanzia jana hadi leo, maafa ni makubwa
Wananchi wa Jangwani Magomeni wakijaribu kuokoa baadhi ya vifaa baada ya mafuriko kuzidi, pembeni kuna mkokoteni uliosheheni taka na kutelekezwa hapo, Idara ya Afya ijidhatiti kwa lolote maana magonjwa ya mlipuka yanaweza kutokea, poleni sana.
(Picha kwa hisani ya issamichuzi blog)
PICHA ZAIDI
Eneo la Jangwani
Gari ya Zimamoto bila kujua ilipita kwenye barabara iliyojaa maji kumbe daraja limekatika.
Harakati za uokoaji.
Jangwani haifai tena na si eneo salama la kuishi, poleni waathirika wote.
Jumanne, 20 Desemba 2011
BAADHI YA WANANCHI WALAUMU KAFULILA KUFUKUZWA UANACHAMA NCCR
![]() |
| Mh. D. Kafulila |
Mbunge huyo alionekana anastahili adhabu hiyo baada ya kupitia tuhuma nzito zilizotolewa juu ya Mwenyekiti wa chama hicho, James Mbatia
Wajumbe walipokea na kujadili kina na kura zikapigwa na kuonekana mbunge huyo kutokuwa na imani na mwenyekiti wake na kwenda kinyume na taratibu za chama hicho.
Mbali na kuvuliwa uanachama kwa mbunge huyo pia Hashim Rungwe aliyewahi kuwa mgombea urais katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2010 nae amevuliwa uanachama.
Hivyo kwa kuvuliwa uanachama kwa mbunge huyo kwa mujibu wa sheria jimbo hilo litakabiliwa na uchaguzi mdogo kupatikana kwa mbunge
Kufuatia sakata hilo, msajili wa Vyama vya Siasa nchini, John Tendwa amelaani vikali na kukitupia lawama chama hicho kwa kitendo cha kumvua uanachama mbunge huyo na kuita kitendo hicho ni cha kukomoana na kusababisha gharama zisizo za lazima kwa Taifa kugharamia Uchaguzi Mdogo katika jimbo hilo
Kwa upande wa Chama cha Chadema kimemkaribisha mbunge huyo kijana machachari kujiunga na chama hicho baada ya kufukuzwa NCCR-Mageuzi.
"Milango yetu ipo wazi kwa mujibu wa Katiba, Kanuni na taratibu za chama chetu,"kilisema chama hicho
Hata hivyo baadhi ya wananchi nao walilaani kitendo hicho cha kumvua uanachama mbunge huyo ambaye alikubalika jimboni kwake kuokana na harakati zake za kutetea wanaanchi wa jimbo lake na kitendo hicho kimeonekana na sawa na kuwanyanyasa wananchi wa jimbo hilo

Jumapili, 18 Desemba 2011
RAIS ANAYETUHUMIWA NA ICC AHAIRISHA ZIARA YAKE TANZANIA.
Tanzania's President, Jakaya Kikwete (L) speaks during a joint press conference with his Sudanese counterpart Omar al-Bashir (R) in Khartoum on September 8, 2008 (library photo: AFP)
The Sudanese president Omer Hassan al-Bashir has reportedly cancelled a trip he was planning to make to Tanzania last week.
Local newspapers in Khartoum said that Bashir was headed to Dar es Salaam on Friday December 9th for talks with his Tanzanian counterpart Jakaya Kikwete on issues of mutual concern. He was to be accompanied by his foreign Minister Ali Karti, Defence Minister Abdel-Rahim Mohamed Hussein and minister of the presidency Bakri Hassan Saleh.
Tanzania along with Uganda has recently voted against Sudan’s bid to join the East African Community (EAC) citing concerns over Khartoum’s democratic practices and its treatment of women as well as geographic proximity.
Bashir was apparently planning to participate in the celebrations marking Tanzania’s 50th Independence Day which took place last Friday.
But the visit was called off last minute for coinciding with swearing in ceremony of new cabinet and was to be rescheduled.
This would have been the fifth country visited by the Sudanese leader that is a member of the International Criminal Court (ICC).
Bashir is the first sitting president indicted by the ICC, which issued an arrest warrant on charges of genocide, crimes against humanity and war crimes in Sudan’s troubled Darfur region.

source: http://www.wavuti.com/
AVUNJA REKODI YA MSICHANA MFUPI KULIKO WOTE DUNIANI.
| Msichana mfupi kuliko wote duniani | ||
![]() Bibie Jyoti Amge akichukuliwa vipimo vya urefu wake. | Mwanafunzi wa Kihindi, Jyoti Amge, ni msichana aliyevunja rekodi ya dunia ya msichana mfupi kuliko wote duniani, kwa mujibu wa rekodi inayosajiliwa na kitabu cha rekodi cha Guinness. | |
| Runinga ya NBC ya Marekani, siku ya Ijumaa 17/12/2011, imeripoti kuwa Jyoti Amge mwenye umri wa miaka kumi na minane 18, ana urefu wa sentimeta 62.8. sawa na inchi 24.7. Kwa hiyo msichana huyo ndio msichana mfupi kuliko wote duniani akiwa amempita msichana wa Kimarekani Bridgette Jordan mwenye umri wa miaka ishirini na miwili 22, ambaye ana urefu unaovuka ule wa Jyoti Amge kwa sentimeta saba 7. Kwa mujibu wa habari hiyo, Bridgette Jordan, alikuwa anashikilia rekodi hiyo tangu Septemba 2011. Siku ya Ijumaa, Bibi Jyoti Amge, alikuwa anasherehekea siku yake ya kuzaliwa katika jiji la Nagpur. Wakati huo huo amenukuliwa akisema “Furaha ilioje kwa kusherehekea siku yangu ya kuzaliwa kwa kutimiza miaka kumi na minane 18 nikishika rekodi mpya. Kwa kweli tukio hili ni zawadi ya nyongeza kwa sherehe ya kuzaliwa kwangu.” | ||
BARCELONA YATWAA UBINGWA WA VILABU DUNIANI, WAICHAPA SANTOS YA BRAZIL
Barcelona wameshinda kombe la dunia la Fifa kwa vilabu baada ya kuicharaza timu ya Santos ya Brazil kwa mabao 4-0 kwenye mchezo wa fainali uliyochezwa nchini Japan.
Barcelona mabingwa wa kandanda kwa vilabu duniani
Ushindi huo umeendeleza rekodi nzuri ya klabu hiyo kwa mwaka huu ambapo wao ni mabingwa wa Ligi ya Hispania maarufu La Liga, wanashikilia ubingwa wa vilabu vya Ulaya na pia Kombe la Hispania maarufu Spanish Super Cup.
Mpachika mabao wa timu ya taifa ya Argentina Lionel Messi alifunga mabao mawili, huku mengine yakiwekwa kimiani na Xavi pamoja na nahodha na kiungo wa zamani wa Arsenal Cesc Fabregas.
Ushindi huo unathibitisha kwamba Barcelona inaendelea kusalia timu bora ya kusakata kandanda duniani.
"Tulicheza mchezo wetu kwa ukamilifu," alisema nahodha Carles Puyol. "Ulikuwa mchezo mzuri, mchezo mgumu sana na tumefurahi sana kwa matokeo haya."
Mchezo huo baina ya mabingwa wa kandanda wa Ulaya na wa Amerika Kusini mjini Yokohama ulikuwa ukitajwa kuwa kivutio kati ya Messi, anayeaminika ndiye mchezaji bora wa soka duniani na mshambuliaji hatari wa Brazil mwenye umri wa miaka 19 Neymar, ambaye anatajwatajwa huenda akajiunga na ama na Barca au Real Madrid.
Lakini haikuwa hivyo - Messi akionekana kushamiri katika mchezo huo na kutajwa mchezaji bora wa mechi hiyo na pia akapata tuzo ya mchezaji mwenye thamani kubwa katika michuano hiyo wakati Barcelena ikiweka kibindoni kombe la ubingwa wa dunia kwa mara ya pili mfululizo katika misimu mitatu.
Bao lake la kwanza alifunga kwa kuubetua mpira kama ilivyo kawaida yake na la pili alifunga kwa ustadi mkubwa baada ya kumzunguka mlinda mlango wa Santos Cabral.
Santos walibadilika na kucheza soka nzuri kipindi cha pili na Neymar nusura afunge baada ya kupatiwa pasi nzuri akiwa amebakia peke yake na mlinda mlando wa Barcelona Victor Valdes, lakini Valdes akafanikiwa kuokoa.
"Barcelona walistahili kushinda. Ni timu bora duniani na tumejifunza somo muhimu," alisema Neymar.
Timu ya Qatar ya Al Sadd, ambayo ililazwa mabao 4-0 na Barcelona katika hatua ya nusu fainali, iliwafunga mabingwa wa Japan Kashiwa Reysol mabao 5-3 kwa mikwaju ya penalti na kufanikiwa kushika nafasi ya tatu ya michuano hiyo inayofanyika kila mwaka kwa kushirikisha mabingwa wa soka wa mabara duniani
Ijumaa, 16 Desemba 2011
CUF NA NCCR MMEPATWA NA NINI!!?
Waandishi Wetu
WAKATI uongozi wa CUF, ukiwa bado haujamwita kwenye Kamati ya Maadili, Mbunge wa Wawi, Hamad Rashid Mohamed, Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila, amesema hatishwi na kikao cha dharura cha Halmashauri Kuu ya chama chake cha NCCR-Mageuzi, kinachotarajiwa kuketi kesho kumjadili kama inavyodaiwa. CUF na NCCR- Mageuzi vimekuwa katika migogoro ya ndani kwa muda mrefu na kadiri siku zinavyosonga mbele, migogoro hiyo inaonekana kuendelea kukua kiasi cha kutishia uhai wa vyama hivyo vya upanzani. Upande wa CUF Wakati uongozi wa chama hicho ukiwa bado unasuasua kumpa barua ya wito Hamad kama ilivyoahidiwa na Naibu Katibu Mkuu wake Bara, Julius Mtatiro, wanachama 4,000 wa chama hicho Kata ya Manzese, jijini Dar es Salaam wameonya kwamba kitendo cha kumzuia mbunge huyo kufanya mikutano, kinaweza kusababisha mpasuko mkubwa ndani ya chama. Mtatiro jana aliliambia gazeti hili kuwa chama hicho bado hakijampekelea barua Hamad kumwita kwenye kikao hicho cha maadili, lakini mpango wake huo, haujabadilika. "Bado tutampelekea tu na tutamuita katika Kamati ya Maadili ya chama muda wowote kuanzia sasa,”alisema Mtatiro. Akieleza sababu za kumwita mbunge huyo pekee na sio Maalim Seif Sharif Hamad, Mtatiro alisema Hamad Rashid, ndiye aliyeanza kuzungumza na waandishi wa habari na kueleza matatizo yake aliyonayo ndiyo maana uongozi ukabaini kwamba kuna kila sababu za kumuita na kuzungumza naye. Alisema baada ya kumwandikia barua, vikao vya ndani vya chama vitakaa na kumhoji na maamuzi yatakayotafanyika kikatiba ndio yatakayoamua hatima yake. “Vikao vya ndani ndivyo hasa vitakavyojua hatma ya Hamad Rashid na sio mimi. Kwa kweli siwezi kukueleza chochote kile sasa hivi,”alisema Wakati chama kikipanga kumwita, Hamadi mwenyewe amezungumzia hatua hiyo kuwa ni ukiukwaji mkubwa wa katiba akieleza kuwa kimsingi alipaswa kuitwa katika vikao vya chama na sio kuhukumiwa na kushutumiwa kupitia vyombo vya habari. Kauli ya mbunge huyo wa Wawi ilikuja baada ya Mtatiro kutoa kauli kwenye mkutano na wanahabari akidai kuwa kitendo cha Hamad kufanya mkutano na wanachama wa Tawi la Chechinya, Manzese bila kibali cha chama ni kwenda kinyume na taratibu. Wananchama 4,000 Wakati uongozi huo wa CUF ukisuasua kumpa barua Hamad wanachama 4,000 wa Kata ya Manzese jijini Dar es Salaam, wameonya kuhusu kitendo cha kumzuia mbunge huyo kuendelea na mikutano yake. Wanachama hao waliyasema hayo jana kufuatia mbunge huyo kushindwa kukabidhi msaada wa samani za ofisi ya kata hiyo alizopaswa kuzikabidhi Desemba 11 mwaka huu, lakini akazuiwa na ulinzi wa chama hicho wanaojulikana kama Blue Guard. Katibu wa Kata hiyo, Hamdan Kulangwa alisema kitendo cha mbunge huyo kuzuiwa na walinzi wa chama hicho kinakiuka taratibu za chama na hivyo kuwasikitisha sana wapenzi na wanachama wake katika kata hiyo. “Sisi tulimwalika Hamad Rashid aje atukabidhi msaada wa samani za ofisi ambazo tulimwomba atusaidie, lakini siku ya tarehe 11 Disemba, alipofika kabla hajaanza kufanya lolote lilikuja kundi la Blue Guard na kumzuia kuzungumza na sisi,” alisema Kulangwa Kafulila: Sina hofu kikao cha NEC Wakati upepo ukivuma vibaya ndani ya CUF, NCCR nako mambo bado magumu baada ya mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila, kusema kuwa hana hofu na kikao cha NEC ya chama hicho inayoketi kesho. Kafulila ambaye anadaiwa kuzungumza mambo ya ndani ya chama katika vyombo vya habari pamoja na kupingana wazi wazi na mwenyekiti wake, James Mbatia kinyume alisema hana wasiwasi kwa kuwa mpaka sasa hakuna ajenda zilizowekwa wazi juu ya mambo yatakayojadiliwa katika kikao hicho. Kafulila alisema, “Mimi ni mjumbe wa kikao hicho na nitakuwepo, ila mpaka sasa sijaelezwa ajenda…, hili ni jambo dogo na kila kitu kitajulikana katika kikao, nadhani kikao kitajadili mambo mbalimbali,” alisema Kafulila. Alipoulizwa hoja atakazoziwasilisha iwapo atajadiliwa katika kikao hicho, Kafulila alisisitiza kwamba hawezi kulizungumzia suala hilo kwa kuwa mpaka sasa hajui nini kitakachojadiliwa. Imeandaliwa Fidelis Butahe, Hussein Issa na Aidan Mhando |
Jumatano, 14 Desemba 2011
JAN POULSEN AIPASHA TFF
Sweetbert LukongeKOCHA wa timu ya Tanzania, Jan Poulsen amelishutumu waziwazi Shirikishi la Soka nchini (TFF) kwa kuharibu mipango yake ya maandalizi ya mechi za kufuzu Kombe la Dunia 2014.Poulsen aliondolewa kuifundisha timu ya taifa ya Tanzania Bara 'Kilimanjaro Stars' kwenye mashindano ya Kombe la Chalenji yaliyomalizika hivi karibuni na Uganda kuibuka mabingwa. Nafasi hiyo ya Poulsen walipewa makocha Charles Mkwasa na Jamhuri Kiwehlu ikiwa na wachezaji wa Tanzania Bara pekee kwa sababu Zanzibar nayo inashiriki michuano hiyo. "Kazi yangu inakuwa ngumu sana kwa sababu tunatakiwa kujipanga kwa ajili ya mechi zetu za kufuzu 2012," Poulsen aliimbia BBC."Napopata fursa ya kuwa na wachezaji kwa muda mrefu ndivyo ninavyowafahamu zaidi. Muda uliobaki ni mfupi kabla ya kuanza kwa mechi za mchujo hapo Juni. "Unaweza ukajiuliza kuna umuhimu gani wa kubadilisha timu kwa kiasi kubwa kwa ajili ya michuano ya Chalenji badala ya kuendelea kuwa na kikosi kile kile kilichocheza mechi mbili za mwisho dhidi ya Chad," alisema Poulsen. Mdenmark huyo alikuwa kwenye jukwaa wakati Kilimanjaro Stars ikitupwa nje kwenye nusu fainali na Uganda na kuzomewa na mashabiki wake.Alipoulizwa kama ilikuwa na umuhimu wote kwa makocha hao ndani kuifundisha timu hiyo, Poulsen alisema. "Sina uhakika kama ningeweza kufanya hivyo mimi. Lakini TFF wana sababu zao na jinsi wanavyotaka kuendeleza soka la Tanzania," alisema."Nafikiri tunatakiwa kujipanga kwa umakini na kuwa na mawasiliano mazuri kati yetu. Ni matumaini yangu mambo yatakuwa mazuri siku zijazo." Akijibu madai hayo ya Poulsen, katibu mkuu wa TFF, Angatile Osiah alisema uamuzi huo ulitokana na kilio cha Watanzania wengi kutaka kocha asiifundishe Kilimanjaro Stars. "Yeye ni kocha mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania na sio Tanzania Bara (Kilimanjaro Stars)," alisema Osiah. |
SHILINGI BILIONI 64 ZATUMIKA KUGHARAMIA SHEREHE ZA MIAKA 50 YA UHURU WA TANGANYIKA.
The government of Tanzania spent a total of TSh. 64 billion to facilitate celebrations to mark the 50th independence anniversary of Mainland Tanzania.
Sources from the celebrations organising committee and Treasury confided separately to The Citizen that the money was spent on exhibitions by all ministries and some government agencies, plus the grand gala that marked the climax of the event at Uhuru Stadium in Dar es Salaam last Friday.
Some Sh8 billion was allocated to local governments. Regional administration and local government authorities organised celebrations in all of the Mainland’s 21 regions, and 136 district councils.
Major items on which the money was spent included preparatory logistics, fuel, per diem for civil servants and printing costs for leaflets highlighting achievements that respective districts and regions had registered over the 50-year period.In Dar es Salaam, the celebrations started in earnest in July, shortly after the Public Service Week. Ministries took turns at the Mnazi Mmoja grounds, to showcase their activities.
Ministerial exhibitions, per diem dues ‘ and other exhibition-related expenses ‘swallowed’ between Sh9 and 11 billion, the source from Treasury hinted.
The same source revealed that about Sh213 million was given to Tanzania trade Development Authority (TanTrade), to finance some ministerial exhibitions as well as those of state agencies and the private sector, at Mwalimu Nyerere exhibition grounds along Kilwa Road in Dar es Salaam.
Reached for comment last week, the TanTrade chief executive officer, Mr Ramadhan Khalfan, said his organisation had presented a budget of Sh613 million for the exhibitions but was given only Sh213 million.He also said the government barred them from charging entry fees to recoup some of the expenses incurred in organising the fair.
“Our budget was for preparations of the pavilions to enable the exhibitors to have a convenient area and space to showcase their activities... we are not part of other expenses on the Uhuru exhibitions held elsewhere,” Mr Khalfan said.
Some reports suggest that money wasn’t allocated equitably to ministries, citing Sh600million for the Ministry for Finance and Economic Affairs for the 12-day exhibition at Mwalimu Nyerere grounds.A senior officer within the Finance ministry who is also part of the team at the exhibition that ends today, said staff manning the pavilion are paid a daily Sh100,000 allowance each.
Enquiries by this paper showed that allocations to ministries ranged from Sh30million to Sh150 million. The ministry of Industries, Trade and Marketing reportedly received Sh30million. Each of the nearly 5,000 youngsters who participated in the mass display on Friday was reportedly paid Sh40,000, but a figure for defence and security staff who staged various shows couldn’t be obtained.

Credits; The Citizen
BADO UTATA WAGUBIKA KIFO CHA KONSTEBO DAVID ALIYEJIUA LINDONI NMB.
Askari Polisi wakijaribu kuwatawanya wananchi waliokuja kushuhudia tukio hilo la askari kujiua nje ya Makao Makuu ya Benki ya NMB mtaa wa Azikiwe na Jamuhuri.
ASKARI Polisi, Konstebo David Selemani (22) aliyejiua kwa kujipiga risasi jijini Dar es Salaam inadaiwa kabla ya kuchukua uamuzi huo, aliwasiliana na ndugu zake wengi wakiwemo ambao hakuwa amewasiliana nao kwa muda mrefu.
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Ilala, Faustine Shilogile ambaye kwa mujibu wake polisi inaendelea na uchunguzi kubaini sababu za kufanya hivyo, alisema hatua hiyo iliwashangaza ndugu hao.
Shilogile alisema uchunguzi unaofanyika ni pamoja na kuwasiliana na kampuni ya simu ya mtandao aliokuwa akiutumia ili kufahamu mtu aliyekuwa akiwasiliana naye kabla ya kujiua.
Kwa upande wa ndugu na marafiki wa askari huyo waliozungumza na gazeti hili kabla ya mwili wake kusafirishwa kwenda mkoani Kilimanjaro kwa maziko, walisema wanaendelea kujiuliza maswali bila majibu juu ya sababu za jamaa yao kuchukua uamuzi huo.
Katika kuaga mwili wa Konstebo David katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, mmoja wa ndugu aliyejitambulisha kwa jina moja la Danny, alisema siku moja kabla ya kujiua, alizungumza naye kwa simu akimtaka waonane.
“Mimi shughuli yangu ni dereva, na kwa bahati mbaya siku hiyo nilikuwa safarini, hivyo nilimtaka wakaonane na kaka yangu ili wazungumze kama kulikuwa na jambo la haraka la kuzungumza, sababu nilijua lingeweza kupatiwa majibu na kaka,” alisema Danny.
Alisema siku iliyofuata, akiwa njiani kurudi Dar es Salaam, alishitushwa kupata taarifa za msiba wa David, suala alilodai kuwa limemuacha na maswali mengi juu ya kile kilichosababisha ajiue.

Jumamosi, 10 Desemba 2011
THIERY HENRY AKUMBUKWA KAMA SHUJAA WA ASERNAL KWA KUCHONGEWA SANAMU NJE YA UWANJA WA IMARATI.
Teary Henry as Arsenal unveil statues to former French star, Adams and Chapman
Thierry Henry paid an emotional tribute to Arsenal and his former team-mates after seeing himself immortalised in a bronze statue outside Emirates Stadium on Friday afternoon.
The Gunners record goalscorer was one of three club legends to be honoured as part of their 125th anniversary celebrations, with former manager Herbert Chapman and also captain Tony Adams, who led Arsene Wenger's men to the Double twice, each receiving a similar tribute.Henry left Arsenal for Barcelona in June 2007, where the Frenchman would go on to lift the Champions League before moving to the Major Soccer League in the United States with New York Red Bulls.
Emotional: It's all a bit much for Thierry Henry as his statue is unveiled
Icon: Arsenal's tribute to former striker Henry
How it should look: Henry celebrating his goal against Spurs back in the 2002/03 season
'I never thought in my wildest dreams that I would have a statue like this in front of the stadium of the team I love and support,' said Henry, who netted 226 goals as the Gunners won two Premier League titles and the FA Cup twice.
'The way the statue is gives the perfect example of the love I have for the club - me kneeling facing the Emirates Stadium and Highbury behind is amazing.
'I also have to thank the fans, you have always been special, and I always try to give my best, I know times it was not enough, but I always give it all out there on the field for you guys and the club.
'It is kind of weird to think of the amount of great players who have played for Arsenal, and for me to be right here, I have to say thanks to all of them, because I would not be able to be right there kneeling in front of this stadium, without them.
'Also, I must give a special thanks to my close friends.....'
Solid: Tony Adams has a permanent place outside the Emirates Stadium
'Whatever I do, I do it with my heart, that is the way I am.
'It was not always easy to cope with the pressure of delivering, but from the bottom of my heart, I want to thank Arsenal Football Club for giving me this opportunity to be here in front of this club I love - once a Gooner, always a Gooner.
'Thank you from the bottom of my heart, but I played with some great players too and it would not have been possible without them.'
Standing proud: The statue of Herbert Chapman
Wenger hailed his former captain as the model professional.
'Thierry deserves the honour he gets today, and I am very proud to witness it,' the Gunners boss said.
'His sensational career was down simply to Thierry's class. He is a player who had everything you dream of as a manager - physical potential, a technical level, super intelligence and what people also forget for many top level athletes, is he was dedicated to his job, with a very serious life.
'He is simply a model (professional) who won everything you can in our world - Thierry, you were really special
Read more: http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-2072146/Arsenal-statues-unveiled-Thierry-Henry-tears.html#ixzz1g7jMyfIE
JESHI LA WANANCHI WA TANZANIA LASHIRIKI KUADHIMISHA MIAKA HAMSINI YA UHURU WA TANGANYIKA.
MIAKA 50 YA UHURU WA TANZANIA ILIVYOADHIMISHWA NA JESHI LA WANANCHI (JWTZ)
Mara baada ya Amiri Jeshi Mkuu Rais Dk. Jakaya Kikwete kukagua vikosi vya ulinzi na usalama na vikosi hivyo kutoa heshima kwa Amiri Jeshi Mkuu huyo, kwenye maadhimisho ya miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania leo katika uwanja wa Uhuru, yalifuatia maonyesho ya vifaa vya kijeshi vilivyoonyeshwa na jeshi tukufu la Tanzania JWTZ, ambapo askari wa jeshi hilo wakiwa wakakamavu, walipita na kuonyesha vifaa vya kivita kama linavyoonekana na gari hili ni la Rada hutumiwa na jeshi la wanamaji likiwa na
Hili ni gari lililotengenezwa na kiwanda cha Nyumbu kinachomilikiwa na JWTZ ambalo kazi yake kubeba mizigo.Credits; Fullshangwe
Ijumaa, 9 Desemba 2011
JE UNAMJUA VIZURI MNYAMA PORI AITWAE KIBOKO!? SOMA TABIA ZAKE HAPA UELIMIKE.
Tulimkuta huyu kiboko akiwa amejitosa kwenye dimbwi dogo lililobakia baada ya sehemu kubwa ya ziwa Nzerekela kukauka. Hii ni kutokana na kupungua kwa kina cha maji kwenye mto Rufiji. Nilidokezwa ya kwamba kiboko huyu hapa ndio territory yake iliyobakia na kumlazimu kuendelea kubaki hapo. akienda kwengine watamtoa spidi na atalazimika kuingia kwenye mpambano na dume anayemiliki eneo atakalovamia ili aweze kupewa hifadhi.
Alikuwa ni kiboko mkubwaa mtoni - Selous
Njia za viboko wanapotoka kutafuta chakula na kurudi mtoni.
Njia za viboko wanapotoka kutafuta chakula na kurudi mtoni.
Wote huweka alama, lakini zinakuwa ni tofauti kidogo
Chanzo cha habari na picha;tembeatz.blogspot.com
PICHA YA LEO;MKESHA WA MIAKA HAMSINI YA UHURU, SANAMU YA BISMIN(ASKARI) YANG'AA PALE MITAA YA SAMORA NA AZIKIWE KUAMKIA LEO.

Leo ni miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania Bara. Hata hivyo, shamra shamra za kufikia kilele zilianza muda na jana kulikuwa na mkesha nchi nzima ulioandamana na mapambo ya kila namna. Hapa ni eneo maarufu la Mnara wa Askari jijini Dar es Salaam likimeremeta jana usiku na kubadilisha mandhari yake yaliyozoeleka ikiwa ni sehemu ya kukaribisha siku hii muhimu ya leo. (Picha na Robert Okanda).
BALOZI MAHIGA WA UN AKATALIWA NA WASOMALI.
Somali lawmakers yesterday slammed the United Nations Ambassador to Somalia, Augustine Mahiga, for supporting Somaliland's bid for independence, during a press conference in Nairobi, Kenya.
Somali MP Awad Ahmed Hasharo, who also serves as the chairman of the parliament’s information committee, told the reporters that they condemned Mahiga and his plans to undermine the unity of Somalia,“We call on the United Nations to change the position of representative of United Nations to Somalia. We call on the Somali people to know what has he done in Somalia and what he wants to be do. We are against anyone who interferes with Somalia's political affairs directly or indirectly," said the chairman.

Ambassador Augustine P Mahiga-UN Special Representative to Somalia.
He also has accused the speaker of the Somali Parliament Sharif Hassan Sheikh Adan of breaking Somalia's national constitutional code,“The speaker is not sincere about the general interest of the Somali nation and he is against government officials and Somali lawmakers. He is only interested in himself,” the chairman added.
MP Molid Macane Mahamoud told Somalia Report that Mr. Mahiga has routinely created unnecessary drama and misunderstanding amongst Somali officials,“We call on him to stop his actions to separate the Somali people. He is not a Somali. We are against both Sharif Aden and Mahiga. More than 23 lawmakers in Kenya and more than 220 lawmakers inside Somalia do not support these men. Mr. Mahiga failed to solve the Somali crises, so his time is over,” said the MP.
In a statement to Somalia Report, UN Political Office for Somalia (UNPOS) spokes man Nick Birnback denied the allegations that Mr. Mahiga has spoken in favor of Somaliland Independence, and reiterated UNPOS support for the territorial integrity of Somalia.

Credits; Somalia Report
PONGEZI WATANZANIA KWA KUADHIMISHA MIAKA HAMSINI YA UHURU WA TANGANYIKA LEO, TUZIDISHE JUHUDI KATIKA KUFANYA KAZI ILI TUJILETEE MAENDELEO.
Tarehe 09/12/1961 Tanganyika ilikabidhiwa madaraka kamili ya kuiongoza nchi yao toka kwa wakoloni wa Kiingereza, Mwalimu J K Nyerere akateuliwa kuwa Waziri Mkuu wa kwanza wa Tanganyika huru, baadaye 1962 akawa Rais wa kwanza wa Jamuhuri ya Tanganyika kabla ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar 26/04/1964.
Tulinde amani na kuuenzi umoja wetu tunaojivunia kwa miaka mingi, tukumbuke historia wapi tumetoka na wapi tunaelekea, Mungu Ibariki Tanzania na watu wake. Amina.
Jumapili, 4 Desemba 2011
VENGU AONDOLEWA ICU ARUDISHWA WODI MWAISELA. TUMUOMBEE JAMANI.
AFYA ya mchekeshaji wa kundi la Orijino Komedi linalorusha michezo yake kupitia kituo cha runinga cha TBC1 cha jijini Dar es Salaam, Joseph Shamba a.k.a Vengu (pichani) ambaye alikuwa anapata matibabu akiwa katika chumba cha wagonjwa mahututi (ICU) katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, inaendelea vizuri baada ya kutolewa ICU na kupelekwa katika wodi ya Mwaisela ili kuendelea na matibabu
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)

Sweetbert Lukonge