Jumamosi, 28 Aprili 2012

PICHA YA LEO: MWAWI KUMWENDA, NYOTA WA MCHEZO WA NETBALL HUKO MALAWI

Mwawi Kumwenda, Nyota wa mchezo wa Netball wa Malawi ambaye kwa sasa anachezea Ligi ya Netball ya Victoria huko Australia na anafanya vyema katika medani hiyo, atakosekana kwenye safari ya Malawi Queens wanaokuja Tanzania juma lijalo sababu timu yake ya Ughaibuni haijamruhusu kuondoka sababu wako katika hatua ngumu ya ligi hiyo, hongera sana Mwawi.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni