Alhamisi, 2 Februari 2012

MADAKTARI VS SERIKALI HADI LINI!!? INASIKITISHA SANA.

Picture
Madaktari wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Dkt. Meja Julius Mndolwa (kushoto) na Dkt. Meja Horun Mpende, wakipitia nyaraka za matibabu katika idara ya dharura ya Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Dar es Salaam. (picha: Habari Leo)
Picture
Madaktari bingwa wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) wakitoka kwenye kikao chao cha dharura jana hospitalini hapo ambapo waliunda kamati ya kwenda kumuona Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, kuzungumzia mgomo wa madaktari nchini. (Picha: Robert Okanda)

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni