Alhamisi, 2 Februari 2012

KABLA HUJAFA HUJAUMBIKA, DK. HARRISON MWAKYEMBE KUMBE KARUDI TOKA INDIA!!! SASA ANAWEZA KUVAA HATA VIATU, AFYA INAIMARIKA , TUMWOMBEE KWA MOLA AMUHAFU.

Dk. Mwakyembe akisalimiana na Mch.Gwajima hivi karibuni katika ibada huko Kawe Dar es salaam.
Unaweza kumtambua Dk. hapa? ni huyo wa pili toka kulia, anaonekana akiwa na Mh. Kilango, Lembeli na Sitta siku hiyo ya ibada mwezi uliopita mwishoni.
Dk. Mwakyembe akiwa na Mh. Lembeli.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni