DKT EMMANUEL NCHIMBI MBUNGE WA SONGEA MJINI NA WAZIRI WA HABARI UTAMADUNI NA MICHEZO ATINGA KAMPENI ZA UDIWANI KATA YA LIZABONI MANISPAA YA SONGEA
Mbunge wa Jimbo la Songea Mjini na Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo Dkt Emmanuel Nchimbi akimnadi mgombea wa Udiwani wa Kata ya Lizaboni, Manispaa ya Songea kupitia CCM George Oddo aliyesimama kushoto kwenye mkutano uliofanyika kwenye ofisi za CCM kata ya Lizaboni juzi.
Mamia ya wananchi wakimsikiliza Mbunge wa Jimbo la Songea Mjini na Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo Dkt Emmanuel Nchimbi akimnadi mgombea wa Udiwani wa Kata ya Lizaboni, Manispaa ya Songea kupitia CCM George Oddo kwenye mkutano uliofanyika kwenye ofisi za CCM kata ya Lizaboni juzi.
Mbunge wa Jimbo la Songea Mjini na Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo Dkt Emmanuel Nchimbi akimnadi mgombea wa Udiwani wa Kata ya Lizaboni, Manispaa ya Songea kupitia CCM George Oddo kwenye mkutano uliofanyika kwenye ofisi za CCM kata ya Lizaboni juzi.(Habari na picha kwa hisani ya Stephano Mango)