Swaum kali!!!Jamaa wakiwa wamejilaza Msikitini kuvuta swaum huko Indonesia.
Waislam wa Indonesia wakiwa katika swala mwezi huu wa Ramadhan.
Kombora likilipuliwa huko Yemen kuashiria muda wa kufuturu umefika.
KARIBU KATIKA BLOGU HII YA KUELIMISHA, KUBURUDISHA NA KUONYA KUPITIA MADA MBALIMBALI NA HATA PICHA. ONGEZA MAHUSIANO KWA KUJUMUIKA NA WENZIO HAPA.UNAWEZA TUMA PICHA NA MAELEZO KWA ANUANI HII;mkuu74@gmail.com
Poleni sana na Swaum mliofunga!
JibuFuta