Mpambano huo ulivuta mashabiki wengi katika viwanja vya TCC Sigara ambapo bendi ya Sikinde, ilionekana kuwapiku wenzao wa Msondo kutokana na Shamrashamra zilizokuwa zikitawala wakati Msondo wakiimba jukwaani, Onyesho hilo limefanyika usiku wa kuamkia jana ikiwa ni pamoja na kusherehekea sikukuu ya Krismas.

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni