Tulimkuta huyu kiboko akiwa amejitosa kwenye dimbwi dogo lililobakia baada ya sehemu kubwa ya ziwa Nzerekela kukauka. Hii ni kutokana na kupungua kwa kina cha maji kwenye mto Rufiji. Nilidokezwa ya kwamba kiboko huyu hapa ndio territory yake iliyobakia na kumlazimu kuendelea kubaki hapo. akienda kwengine watamtoa spidi na atalazimika kuingia kwenye mpambano na dume anayemiliki eneo atakalovamia ili aweze kupewa hifadhi.
Alikuwa ni kiboko mkubwaa mtoni - Selous
Njia za viboko wanapotoka kutafuta chakula na kurudi mtoni.
Njia za viboko wanapotoka kutafuta chakula na kurudi mtoni.
Wote huweka alama, lakini zinakuwa ni tofauti kidogo
Chanzo cha habari na picha;tembeatz.blogspot.com
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni