Alhamisi, 6 Septemba 2012

MAITI SABA ZA WACHIMBA MGODI WA DHAHABU HUKO NANDAGALA RUANGWA ZIMEPATIKANA LEO BAADA YA KUFUKULIWA KATIKA KIFUSI.



Jamaa wakitafuta Maiti za watu saba waliofunikwa na kifusi cha mgodi Ruangwa.
Zoezi la kufukua  Maiti za watu waliofunikwa na kifusi katika Machimbo ya Madini katika Kata ya Nandagala Wilayani
Ruangwa Mkoani Lindi jana limekamilika leo asubuhi  huku wakifanikiwa kuzipata maiti zote 7.
source.Abdulaziz

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni