Jumapili, 9 Septemba 2012

FALSAFA YA NYEPESI; KUZUIA MAANDAMANO KWA NGUVU NA BILA SABABU YA MSINGI NI KUCHOCHEA MAANDAMANO HAYO. VYOMBO VINAVYOHUSIKA VITUMIE BUSARA ZAIDI BADALA YA NGUVU.


TASWIRA YA MAANDAMANO YA WAISLAM KUISHINIKIZA SERIKALI KUWAACHIA WENZAO WALIOKAMATWA KUTOKANA NA KUGOMA KUHESABIWA. PIA WAANDAMANAJI WA MIGODINI AFRIKA YA KUSINI WAENDELEA LICHA YA WENZAO34 KUUAWA MWEZI ULIOPITA. 


Mmoja wa viongozi wa maandamano hayo jina lake halijaweza kupatikana kwa haraka akiwahimiza waislam wenzake kutokukata tamaa mpaka kieleweke. Hapa wakiwa mbele ya jengo la wizara ya Mambo ya ndani kama linavyoonekana kwa mbele
Wakina mama wa kiislam nao hawakuwa nyuma katika maandamano hayo wakishinikiza waislam wenzao waliokamatwa kwa sababu ya kugoma kuhesabiwa watolewe, mpaka hivi sasa tunaingia mitamboni bado waandamanaji hao wapo katika jengo hilo la Wizara ya mambo ya ndani.
Wanahabari nao hawakua nyuma katika kupata picha za tukio hilo
Kwa juu kwenye ghorofa ni wafanyakazi wa Benki ya Exim iliyo karibu na Wizara hiyo wakiwa hawajui la kufanya huku wengi wao wakihofu kama mabomu ya machozi yakianza kupigwa watajisalimisha wapi, huku waislam kama unavyowaona kwa chini wakiwa wanaimba nyimbo mbali mbali za kuhamasishana kama iivyozoeleka kwa usemi wa kiimani yao "TAKHBIIRRR!!!!"
Hapa wakiwa wanaelekea kwenye wizara ya mambo ya Ndani. Tukio hilo limetokea muda mfupi uliopita. Mpaka sasa hakuna taarifa yoyote ambayo imetolewa na jeshi la polisi kutokana na maandamano hayo. 
A mineworkers holds up a sign during a march at Lonmin's Marikana mine in South Africa's North West Province, September 5, 2012. More than 3,000 striking South African miners marched through streets near Lonmin's Marikana mine on Wednesday, the largest protest at the hot spot since police shot dead 34 of their colleagues last month.Police armed with tear gas and assault rifles deployed armoured vehicles and helicopters to keep an eye on the stick-waving protesters. REUTERS/Mike Hutchings (SOUTH AFRICA - Tags: POLITICS)
Mineworkers run past police vehicles as they take part in a march at Lonmin's Marikana mine in South Africa's North West Province,September 5, 2012. More than 3,000 striking South African miners marched through streets near Lonmin's Marikana mine on Wednesday, the largest protest at the hot spot since police shot dead 34 of their colleagues last month. Police armed with tear gas and assault rifles deployed armoured vehicles and helicopters to keep an eye on the stick-waving protesters. REUTERS/Siphiwe Sibeko (SOUTH AFRICA - Tags: CIVIL UNREST POLITICS ENERGY CRIME LAW)
Polisi wakidhibiti waandamanaji hivi karibuni hali iliyopelekea kusababisha kifo cha Mwandishi wa Habari Daudi Mwangosi.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni