Jumapili, 15 Julai 2012

PICHA YA LEO; MWANAMAPINDUZI HALISI WA UCHUMI, HIVI KUPIGA KISHOKA ENZI ZILE ILIKUWA LAZIMA!!!?

Mwalimu J K Nyerere enzi hizo akiwa katika ziara ya kikazi wilayani Mafia, Land Rover 109 ndio ilikuwa gari imara inayopendekezwa kwa matumizi ya Serikali, tumetoka mbali.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni