Jumatatu, 2 Julai 2012

PICHA YA LEO; KABLA HUJAFA HUJAUMBIKA, DK. ULIMBOKA APELEKWA AFRIKA KUSINI KWA MATIBABU.

Waziri Mkuu Mizengo Pinda akisalimiana na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Madaktari nchini Dk Stephen Ulimboka wakati Waziri Mkuu alipokutana na Madaktari Jijini Dar  es Salaam hivi karibuni, kweli kabla hujafa hujaumbika, Daktari huyu hivi sasa yupo nchini Afrika ya Kusini alikoenda kutibiwa baada ya kushambuliwa na kuumizwa vibaya na watu wasiojulikana majuzi.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni