Jumatatu, 21 Machi 2011

MUNGU MKUBWA

 Kijana anayefahamika kwa jina la Hassan wa Tanga ni mlemavu wa mtindio wa ubongo anaishi kwa mateso makubwa kwa kufungwa kamba kama ng'ombe wa maziwa muda wote. Wazazi wake wanasema wamechukua hatua hiyo ili kumnusuru na kipigo toka kwa wananchi kwa vile akiachwa huru ni mkorofi kwa kuharibu mali za watu na anatembea kwenda mbali bila kukumbuka kurudi nyumbani.
Mbunge wa viti maalumu mkoa wa Tanga CUF Amina Mwidau akisalimiana kwa furaha na Hassan pale alipoenda kumtembelea nyumbani kwao Tanga mjini.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni