Jumatano, 23 Machi 2011

AJALI YA WANAMUZIKI WA TAARAB

 Waombolezi wakiwa nje ya ukumb wa Equator Grill wakisubiri maelkezo ya shughuli ya msiba ya wanamuziki 13 wa five star taarab. Huo ndio ukumbi wao wa nyumbani wanamuziki hao.
 Lori lililosheheni mzigo wa mbao ndilo linasemekana limesababisha ajali hiyo. Kamanda wa kikosi cha usalama barabarani mkoani Morogoro amesema chanzo cha ajali hiyo ni mwendokasi aliokuwa nao dereva wa basi dogo aina ya coaster iliyowabeba wanamuziki hao alipojaribu kulipita lori hilo bila ya mafanikio.
 Waombolezaji wakiangalia bango lenye picha ya baadhi ya wanamuziki wa kundi hilo.
 Walionusurika katika ajali wakiwa ukumbini Equator baada ya kuruhusiwa kutoka hospitali Morogoro.
 Hadija Kopa akiwa na mmoja wa majeruhi wa ajali hiyo.
 Mwenye baraghashia ni mwanamuziki wa coast modern taarab Omari Tego akimsindikiza kwenda nyumbani kupumzika mmoja wa majeruhi wa ajali hiyo.
 Eneo la tukio
 Mwanahawa Alli akiwa hospitali MOROGORO
 Mtangazaji Startv akiwahoji baadhi ya waombolezaji



 Askari Wanyamapori wa Mikumi Mbuga ya Wanyama wakilinda usalama wa eneo la ajali.

Marehemu Issa Kijoti

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni