Jumamosi, 19 Machi 2011

MAMBO YA FEDHA

Mfanyabiashara Hans Macha pamoja na familia yake amekodi Helikopta  na kutua jirani kabisa na nyumbani kwa mchungaji Mwasapile kijiji cha Samunge kwa ajili ya kupata  kikombe cha dawa.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni