Jumatatu, 8 Julai 2013

WABUNGE WA YANGA WAWAFUNGA WENZAO WA SIMBA KATIKA FOOTBALL TAMASHA LA MATUMAINI HAPO JANA UWANJA WA TAIFA.

YANGA WAILAZA SIMBA KWA PENATI 4-3, WATWAA KOMBE
Wachezaji wa Yanga (wabunge) wakishangilia na kombe lao.
Wachezaji wa Yanga (wabunge) wakishangilia baada ya kuwalaza watani wao Simba (Wabunge) kwa penati…
Rais Kikwete akielekea kukagua timu.
Rais Kikwete akisaini mpira utakaotumika.
...Akiwakagua…
credits;globalpublisherz.tz

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni