Jumapili, 21 Julai 2013

PICHA YA LEO; MH. MIZENGO PINDA USO KWA USO NA ASKARI WA MSUMBIJI HUKO SONGEA VIJIJINI.


Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na askari wa Msumbiji wakati alipopita kwenye mpaka kati ya nchi hiyo na Tanzania katika kijiji cha Mkenda akiwa katika ziara ya mkoa wa Ruvuma hapo juzi.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni