Jumamosi, 13 Julai 2013

JUMBA LA MAKUMBUSHO MMAGEREZA HOUSTON MAREKANI, PICHA YA ASKARI MAGEREZA ALIYEUAWA KWA KISU NA MFUNGWA ALIYEHUKUMIWA KIFO.

Minnie Houston (pichani) ni askari Magereza aliyeuawa na Mfungwa kwa kushambuliwa kwa kisu ambacho kimehifadhiwa hadi sasa kwenye jumba la Makumbusho la Magereza huko Houston Marekani. Hii ilikuwa ni mwaka 1985, Jamani kazi zote zina madhira yake kama hivi.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni