Jumapili, 27 Januari 2013

TASWIRA ZA VURUGU MASASI- MTWARA JANA ZILIZOANZISHWA NA MADEREVA WA BODABODA NA KUHANIKIZWA NA SWALA LA GESI.


TASWIRA ZA MASASI STENDI KUU LEO ASUBUHI,HALI YA UTULIVU IMEREJEA.



HALI ILIVYOKUWA MASASI JANA

 
Ofisi ikiteketea

 
Magari Yaliyopaki eneo la Halmashauri yakiteketea kwa moto, mengine ni ya watu binafsi.

 
Gari likiteketea kwa Moto mbele ya ofisi ya serikali.

 
Heka heka za kupokea majeruhi Hospitali ya Ndanda


 
Nyumba ya Mbunge wa Masasi Mariam Kasembe.

CREDITS;mtwarakumekucha.blogspot.com


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni