Jumatatu, 7 Januari 2013

PICHA YA LEO; MIKE MHAGAMA MTANGAZAJI WA ZAMANI RADIO ONE.

News Time/Top of the Hour!
Je unamkumbuka Mike Mhagama  enzi hizo Redio One inaanza!!? Hapa anaonekana akiwa studio na kipindi kinaendelea, kwa sasa huyu jamaa yupo Marekani sijui ana ishu gani lakini leo nimeona tumkumbuke tu mshikaji wetu na tunamwombea aendelee kula bata huko majuu. Wao walionesha njia katika tasnia hii ya utangazaji hasa kwa vijana wadogo na pongezi pia kwa Mh. Mengi kwa kuendeleza vipaji vya jamaa hawa.
Credits; Picha facebook/Mike Mhagama

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni