Jumanne, 22 Januari 2013

JE UNAFAHAMU VYEO VINAVYOVALIWA NA POLISI WA TANZANIA NA MAJINA YAKE!!? HEBU ANGALIA PICHA HIZI.


Koplo wa Polisi

Sajenti wa Polisi

Stesheni Sajenti wa Polisi

Sajini Meja wa Polisi


Kwa leo tuanze na Vyeo hivi ambavyo vipo kwenye kundi la Non Commissioned Officers(NCO's) na baada ya hapo tutaangalia Kundi la Wakaguzi wa Polisi, Gazzetted Officers na Makamishna hadi Inspekta Jenerali wa Polisi.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni