Khadija Kopa aliondoka Uingereza kuelekea Nairobi nchini Kenya kwa shoo nyingine ya taarabu huku nyuma akiacha gumzo jinsi alivyoweza kulitawala jukwaa na kufanya manjonjo mengi ambayo yaliwafanya watu wapagawe.
| Hadija Kopa akipokelewa na wenyeji wake Uingereza katika Uwanja wa Earthrow mwezi uliopita mwishoni. |
Khadija Kopa aliimba zaidi ya nyimbo 10 zikiwemo nyimbo zake zinazotamba nchini Tanzania pamoja na nyimbo mpya toka kwenye albamu yake mpya ya "Full Stop
Mashabiki wakifurahi.

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni