Jumapili, 4 Novemba 2012

MAHAFALI CHUO KIKUU TUMAINI MAKUMIRA TAWI LA DAR ES SALAAM JANA, HONGERA DADA FATMA KWA KUHITIMU SHAHADA YAKO YA KWANZA.

 Mhitimu wa Shahada ya Mawasiliano ya Umma Chuo Kikuu cha Tumaini Bi. Fatma Omari Mnonjela akiwa na furaha mara baada ya Mahafali yao jana Ukumbi wa Karimjee Dar es Salaam.
Baadhi ya Wahitimu na jamaa zao wakijumuika pamoja mara baada ya mahafali. 

 Bi. Fatma akijumuika na jamaa zake
Ndugu jamaa na marafiki wakimpongeza Bi. Fatma.

Hongera sana Bibie kwa hatua uliyofikia, Elimu ni nyenzo ya kupambanana mazingira yanayokuzunguka na Elimu haina mwisho.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni