Jumapili, 18 Novemba 2012

CHUO KIKUU CHA KIISLAMU CHA MOROGORO (MUM) JANA KILIADHIMISHA MAHAFALI YA TANO TANGU KIANZISHWE, HONGERENI WAHITIMU KWA KUPATA SHAHADA ZENU.

Bw. Ramadhan Kanja Mbunda akiwa na muhitimu mwenzie mara baada ya kukabidhiwa shahada zao, hongera sana Anko Rama kwa hatua uliyofikia, umeonesha njia wengine watafuatia.

Bw. Rama katika pozi na mmoja wa Wahadhiri wa chuo hicho(kushoto).

Bw. Tolu(mwenye Tshirt nyeupe) pia alikuwepo toka DAR hadi MORO kuja kumpongeza mhitimu.

Hongereni wahitimu wote kwa hatua mliyofikia.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni