Jumatano, 8 Agosti 2012

NAIBU WAZIRI AFRIKA MASHARIKI ABUDULLAH JUMA ANUSURIKA AJALINI


Naibu Waziri wa Afrika Mashariki, Mhe. Abdullah J Abdallah, amenusuirika katika ajali ya gari leo jioni katika maeneo ya Tumbi - Kibaha wakati akitokea Bungeni Dodoma akielekea Dar. Ndani ya gari alikuwa pamoja na mkewe na watoto wake ambao wote wamepata majeraha madoho, dereva wake ameumia zaidi na hivyo kulazimika kukimbizwa katika hospitali ya Tumbi.
Picha:  Abdulaziz

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni