Ni wanene na warembo
Maonyesho ya uchoraji yameanza mjini Abidjan, Ivory Coast ambapo michoro ya kipekee ni wanawake wanene.Augustin Kassi mchoraji mashuhuri ameandaa maonyesho haya. Amesema ananuia kubadilisha dhana ya kuwadharau wanawake wanene ambao mara kwa mara wanachekwa kwa sura yao nene
Nia hasa ya mashindano na maonesho haya ni kuwaunga mkono wanawake wanene ambao huudhunishwa na dhana kuwa si wa kuvutia.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni