Jumatatu, 23 Desemba 2013

SASA HAPA SEMENI WENYEWE, NANI MTANI JEMBE!? MILIONI 98 KWA MILIONI MOJA!?


 Wachezaji wa Simba wakimnyanyua juu kocha wao, Zdravko Logarusic mara baada ya kumalizika kwa mchezo maalumu wa Nani Mtani Jembe uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Simba ilishinda 3-1.
 Waziri wa Sheria na Katiba, Mathias Chikawe akimkabidhi kombe nahodha wa Simba Haruna Shamte.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni