Jumapili, 8 Desemba 2013

MAREHEMU NELSON MANDELA ANATARAJIWA KUZIKWA TAREHE 15 DESEMBA HUKO KIJIJINI KWAO QUNU.


Hope: Nelson Mandela's legacy is to show what a clear-sighted, courageous, determined, resourceful and, above all, generous in spirit can achieve in political life
Matumaini ya Mandela siku zote ilikuwa ni kuona amani inadumishwa mahali pote Duniani.

Historic: Nelson Mandela and his wife, Winnie, walk out of the Victor Verster prison in Paarl, near Cape Town in 1990, after Mandela had spent 27 years in jail
Historia: Nelson Mandela na mkewe, Winnie, wakitoka nje ya Gereza laVictor Verster huko Paarl, karibu na Cape Town mwaka 1990, baada ya kutumikia miaka 27 jela.
Struggle: Under apartheid black people were not only treated as a sub-species of humanity, unfit to share the same schools or hospitals or post office queues as white people, but were denied the vote and their basic rights as citizens
Mandela Enzi za ujana wake.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni