Jumapili, 22 Desemba 2013

PICHA YA LEO; JAMAA KAKATAZWA NA DAKTARI KUTUMIA KILEVI ZAIDI YA BILAURI MOJA KWA SIKU.

Jamaa kaambiwa na Daktari hasinywezaidi ya bilauri moja ya mvinyo kwa siku sasa yeye anajidanganya kuwa anatekeleza masharti kwa kunywa ile bilauri moja ila ni kubwa kupita kiasi kama mnavyoiona, balaa!!!

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni