Jumapili, 3 Machi 2013

WADAU WA BLOGU YA MAMBOBADO TUNAWAOMBA RADHI KWA KUTOPOST VITU TULIVYOZOEA KAMA KAWAIDA, HII NI KUTOKANA NA TATIZO LA MITANDAO YETU YA SIMU KUKOSA NGUVU KATIKA HUDUMA YA INTERNET PIA UMEME USIO NA UHAKIKA UNAOTOLEWA NA TANESCO HUKU MAENEO YA NACHINGWEA LINDI, MAMBO YAKITULIA TUTAPATA VITU KAMA KAWA, TCHAO!!!

HALI NI MBAYA JAMANI, HEBU TUTAFAKARI NA PICHA HII TOKA INDIA WAKATI TUNASUBIRI MAMBO YETU YAKAE SAWA, SIKU NJEMA WADAU.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni