Jumamosi, 17 Agosti 2013

MUUAJI WA MWANDISHI WA HABARI WA RADIO YA SOMALIA NAYE AMEUAWA LEO ASUBUHI KWA RISASI BAADA YA MAHAKAMA KUMTIA HATIHANI NA KUMUHUKUMU KIFO.

ADEN SHEIKH ADBI ALIMUUA MWANDISHI WA REDIO HASSAN YUSUF ABSUGE BAADA YA KILE KINACHODAIWA KURIPOTI MAUAJI YANAYOFANYAWA NA ALSHABAAB KWA RAIA WEMA.


Alifungwa kwenye nguzo huko jangwani na Kikosi maalumu cha askari Polisi na maafisa wa Usalama wapatao sita walimfyatulia risasi hadi kufa mapema leo asubuhi, Hukumu hii ya kifo ilitolewa mwezi uliopita na mahakama moja ya Somalia na msemaji wa serikali Kanali Muse Keise amethibitisha kutekelezwa kwa hukumu hiyo.
GRAPHIC CONTENT: A firing squad executes Aden Sheikh Abdi in the Somali capital Mogadishu for the killing of local journalist Hassan Yusuf Absuge, pictured, last year
GRAPHIC CONTENT: Picha ikionesha jinsi Hukumu ya mauaji ilivyotekelezwa mapema leo kwa muuaji Aden Sheikh Adbi.

 Wauaji wa Waandishi wa habari wamekuwa wakikwepa mikono ya sheria na hii ni Hukumu ya kwanza ya aina yake na funzo kwa wauaji hao kwani kwa mwaka jana pekee waandishi wa habari zaidi ya kumi na nane waliuawa huko Somalia.
Murdered: Hassan Yusuf Absuge was said to have been killed because he reported on a suicide attack
Pichani ni Mwandishi wa Radio ya Somalia aliyeuawa mwaka jana Bw. Hassan Yusuf Absuge.
Credits; Daily Mail UK

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni