Jumatatu, 2 Septemba 2013

MZEE NELSON MANDELA AMERUHUSIWA KUREJEA NYUMBANI BAADA YA KUKAA HOSPITALI KWA MIEZI MITATU.

The former South African President's daughter Makaziwe Mandela, 59, left her father's home where he is receiving intensive care
Binti wa Mzee Mandela, Makaziwe Mandela, 59, akiondoka eneo la nyumbani kwa baba yake.
Supporters and broadcasters wait outside the home that has been adapted for Nelson Mandela's condition
Waandishi wa habari wakiwa nje nyumbani kwa Mandela kushuhudia kurudi kwake toka hospitali.
South African president Jacob Zuma had urged his country to pray for Mandela and said his predecessor in the role had shown 'great resilience' 
Well-wishers outside the Mandela family home: The location of Mandela's grand family home on the wealthy Johannesburg suburb of Houghton is one of South Africa's worst-kept secrets
Wasamaria wema wakiwa nje ya nyumba ya Mzee Madiba  wakimtakia afya njema nakupona haraka.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni