Ijumaa, 6 Septemba 2013

MKUTANO WA MATAIFA MAKUBWA DUNIANI UNAFANYIKA HUKO URUSI JUU YA KUVAMIA UTAWALA WA ASSAD, TIZAMA JINSI WAASI WA NCHI HIYO WANAVYONYAKUA ROHO ZA WENGINE BILA HURUMA.

 

Kuna picha ya video inayoonesha jinsi askari saba wa serikali ya  Rais Bashar al-Assad wa Syria walivyouawa na waasi wanaopigana kuuondoa utawala huo madarakani, tukio hilo la mauaji lilirekodiwa kwa kamera na waasi hao.

Askari hao walichapwa, kufungwa kamba na kulazwa kifudifudi huku waasi hao wakiwa nyuma yao na silaha zikielekezwa nyuma ya shingo zao, askari hao walikuwa na majeraha ya kuteswa kabla ya kuuawa.   
Muda mfupi kabla ya kuuawa, kiongozi wa kundi hilo ajulikanae kama 'The Uncle', alighani shairi la dhihaka kabla ya kupiga risasi ya kwanza.


Horrific: The soldiers are stripped, bound and pushed to the ground where a number of rebels stand over them pointing guns at their bodies before they are shot
Inaogofya; askari wa Syria wakiwa wamefungwa na kulazwa kifudifudi kabla ya kuuawa, kulia kabisa ni kiongozi wa kundi la waasi ajulikanae kama'Mjomba Issa'.
Inaelezwa ya kwamba  Viongozi wa mataifa makubwa Duniani wa G20 wanakutana huko Urusi kuzungumzia maswala ya vita huko Syria na hivyo video hii itachochea moto kutokana na msimamo wa Dunia kuilaumu Syria kwamatumizi ya silaha za sumu ikiwa waasi pia wana mambo mabaya kama haya yanayolalamikiwa. 
 
Issa alirekodi video hii kwa mujibu wa mtoa habari ili aweze kupata misaada zaidi toka kwa wafadhili wake kifedha na silaha.
Brutal: The bodies of the soldiers are dumped in a well after they are shot dead by the rebels
Ukatili; Baadaye miili ya askari hao ilitupwa kwenye kisima.

The video has emerged as G20 leaders meet in Russia to debate the situation in Syria
Mkutano wa G20 ukiendelea huko Urusi.

 

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni