KARIBU KATIKA BLOGU HII YA KUELIMISHA, KUBURUDISHA NA KUONYA KUPITIA MADA MBALIMBALI NA HATA PICHA. ONGEZA MAHUSIANO KWA KUJUMUIKA NA WENZIO HAPA.UNAWEZA TUMA PICHA NA MAELEZO KWA ANUANI HII;mkuu74@gmail.com
Jumatatu, 22 Julai 2013
Jumapili, 21 Julai 2013
WANAJESHI WALOFIA DARFUR MIILI YAO IMEREJESHWA JANA JIONI,RIP MASHUJAA WETU.
MAANDAMANO MAKUBWA YAFANYIKA NCHINI U S A KUPINGA KUACHIWA HURU KWA MUUAJI WA KIJANA MWEUSI TRAYVON, OBAMA AILAUMU MAHAKAMA KWA UBAGUZI, BEYONCE NA JZ NAO WALIKUWEPO.
Beyoncé and Jay Z join Trayvon Martin's mother for New York march as ONE HUNDRED rallies are held across the U.S. demanding justice for the Florida teenager
- Day of action calls for civil liberty charges to be made against Zimmerman
- Tracy Martin tells Miami crowd 'I will never stop fighting for my son - and yours'
- Teenager's mother speaks alongside the Rev Al Sharpton in Manhattan
One week after George Zimmerman was found not guilty in the death of teenager Trayvon Martin, people have started to gather for nationwide rallies to press for federal civil rights charges against the former neighborhood watch leader.
Beyonce and Jay Z joined the Florida teenager's mother as she spoke to crowds in Manhattan alongside the Reverend Al Sharpton.
The case has become a flashpoint in separate but converging national debates over self-defense laws, guns, and race relations.
High profile: Trayvon's mother Sybrina Fulton, third from left, was joined by Beyonce, Jay Z and the Rev Al Sharpton
Star support: Beyonce and Jay Z join a Justice for Trayvon rally in New York
Connection: Celebrity couple Beyonce and Jay Z say as parents they can understand the pain of the verdic
Jumapili, 14 Julai 2013
MAAFISA KADETI 205 WATHIBITISHWA JANA KUWA MALUTENI USU MBELE YA AMIRI JESHI MKUU RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE HUKO ARUSHA.

Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikagua gwaride katika Chuo Cha Mafunzo ya Kijeshi (TMA) Monduli, Arusha, kabla ya kutunuku kamisheni kwa Maafisa wa JWTZ jana Julai 13.

Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpa zawadi Ofisa Kadet Ngodoke kwa kuibuka mwanafunzi bora wa jumla mwaka huu katika Chuo Cha Mafunzo ya Kijeshi (TMA) Monduli, Arusha, kabla ya kutunuku kamisheni kwa Maafisa wa JWTZ jana Julai 13. Jumla ya wahitimu 205, wakiwemo wanawake 25, wametunukiwa kamisheni na kuwa Luteni Usu, ambapo wahitimu wawili ni wa kutoka Uganda na Visiwa vya Shelisheli.

Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpa zawadi Ofisa Kadet D.G.L. Wong- Pool toka Visiwa vya Ushelisheli kwa kuibuka mwanafunzi bora wa kigeni wa jumla mwaka huu katika Chuo Cha Mafunzo ya Kijeshi (TMA) Monduli, Arusha, kabla ya kutunuku kamisheni kwa Maafisa wa JWTZ jana Julai 13. Jumla ya wahitimu 205, wakiwemo wanawake 25, wametunukiwa kamisheni na kuwa Luteni Usu, ambapo wahitimu wawili ni wa kutoka Uganda na Visiwa vya Shelisheli.

Askari wa kike akitunukiwa Kamisheni jana huko TMA Monduli.

Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitunuku kamisheni kwa maafisa katika Chuo cha Cha Mafunzo ya Kijeshi (TMA) Monduli, Arusha, kabla ya kutunuku kamisheni kwa Maafisa wa JWTZ jana Julai 13. Jumla ya wahitimu 205, wakiwemo wanawake 25, wametunukiwa kamisheni na kuwa Luteni Usu, ambapo wahitimu wawili ni wa kutoka Uganda na Visiwa vya Shelisheli.
RAIS KIKWETE ATOA TAMKO RASMI KUHUSU MAUAJI YA ASKARI SABA WA TANZANIA WAKILINDA AMANI DARFUR SUDAN.
TAMKO LA RAISI WA NCHI NA AMIRI JESHI MKUU KUHUSU TUKIO LA DAFUR
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ameshtushwa na kuhuzunishwa sana na tukio la kushambuliwa na kuuawa kwa vijana saba hodari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania waliokuwa wanalinda amani katika eneo la Darfur, Sudan.
Kwa hakika, Rais amesikitishwa sana na kitendo hicho ambako wanajeshi wengine 14 wa Tanzania wamejeruhiwa na waasi wa Sudan na ametuma salamu za rambirambi za moyoni mwake kwa Jeshi la Wananchi wa Tanzania na kwa familia za wafiwa wote.
Aidha, Rais Kikwete anaungana na Watanzania wote na hasa maofisa na wapiganaji wa JWTZ na familia za wafiwa kuomboleza vifo vya vijana hao hodari wa Tanzania. Rais pia anaungana na Watanzania wote kuwaombea wale walioumia katika tukio hilo waweze kupona haraka na kuendelea na majukumu yao ya ulinzi wa amani chini ya Umoja wa Mataifa.
Katika salamu zake za rambirambi kwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Jenerali Davis Adolf Mwamunynge na familia za wafiwa, Rais Kikwete na Amiri Jeshi Mkuu amesema:
“Sina maneno ya kutosha ya kuelezea mshtuko, huzuni na masikitiko yangu makubwa kufuatia vifo vya vijana wetu hao ambao wamepoteza maisha yao katika shughuli muhimu sana ya utekelezaji wa majukumu ya Umoja wa Mataifa ya kulinda na kuleta amani katika eneo la dunia ambako maelfu kwa maelfu ya watu wamepoteza maisha yao kwa kushambuliwa na waassi.”
Rais Kikwete ameongeza kumwambia Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na familia za wafiwa ”Napenda kwa niaba ya Watanzania wenzangu niwahakikishieni kwamba hakuna shaka kuwa vijana wetu hao tokea walipokwenda Darfur Februari mwaka huu, na kwa hakika tokea Tanzania ilipoanza kuchangia walinzi katika eneo hilo mwaka 2007, wamefanya kazi nzuri sana, kazi iliyoongozwa na weledi wa hali ya juu na kazi ambayo imeiletea nchi yetu heshima kubwa. Tutaendelea kuwaenzi kwa kujivunia kazi yao.”
Amesisitiza Mheshimiwa Rais Kikwete: “Nakutumia wewe Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi salamu za rambirambi za dhati ya moyo wangu kuomboleza vijana wetu hawa. Kupitia kwao, natuma salamu za rambirambi kwa maofisa wakuu na maofisa wadogo pamoja na wapigaji wote wa Jeshi letu kwa kupotelewa na wenzao. “
“Aidha, kupitia kwako, nawatuma salamu zangu kwa wanafamilia za waliopotelewa na wapenzi wao na ndugu zao katika tukio hilo. Wajulishe kuwa naungana nao katika kuomboleza. Wajue kuwa uchungu wao ni uchungu wangu pia na wa Watanzania wote na kuwa kwa pamoja tunamwomba Mwenyezi Mungu awape moyo wa uvumilivu na subira katika kipindi hiki kigumu. Vile vile kwa pamoja tunamwomba Mwenyezi Mungu azilaze peponi roho za marehemu. Amina.’
Kwa walioumia, Rais Kikwete amemwambia Jenerali Mwamunyange: “Naungana pia na Watanzania wenzangu katika kuwapa pole nyingi walioumia katika tukio hilo tukiwaombea kwa Mwenyezi Mungu wapone haraka na kuendelea na shughuli zao za ulinzi wa amani chini ya Umoja wa Mataifa.”
Vijana hao waliopoteza maisha yao na walioumia, walikuwa sehemu ya askari 37 na ofisa mmoja ambao walikuwa wanasindikiza msafara wa waangalizi wa kijeshi katika Darfur kutoka eneo la Khorabeche kwenda Nyara waliposhambuliwa na waasi kiasi cha kilomita 20 kutoka Khorabeche saa tatu asubuhi jana, Jumamosi, Julai 13, 2013
Jumamosi, 13 Julai 2013
Ijumaa, 12 Julai 2013
MICHEZO YA HATARI YA KUCHEZA NA MADUME YA NG'OMBE HUKO HISPANIA YAZUA BALAA KWA KUUMIZA WACHEZAJI NA WATALII.
Horrific scenes on the streets of Pamplona as three men are brutally gored in bloodiest day yet of this year’s Running of the Bulls
- An American, 20, was gored in the stomach - he is in a serious condition
- A 42-year-old Spaniard was left with arm injuries
- Most bloody attack was 31-year-old twice in the groin and once in the leg
- Another three people, including a 48-year-old American, injured in run
An American tourist was gored by a bull on this morning along with two Spaniards on the bloodiest day of the famous Spanish Running of the Bulls festival so far this year.
The 20-year-old American tourist was gored in the stomach and a 42-year-old Spaniard in the arm as they took part in a bull-run in Pamplona, where people race through the Spanish town's cobbled streets pursued by the animals.
But the most terrifying moments occurred when a lone bull which had become separated from the pack attacked a second Spanish runner as he lay helpless on the ground after being mown down by the animal and tripping in front of it.
Scroll down for video
Horrifying: Three people were gored today on the bloodiest day of the famous Spanish Running of the Bulls festival so far this year
Menacing: The runner gets tossed in the air by an El Pilar fighting bull after getting gored on Estafeta street during the sixth running of the bull
Trapped: The man is caught between the horns of an El Pilar fighting bull after being gored
Desperate: The man tries to escape the bull as a steward gets out a stick to distract the angry animal
Attack: The half-ton beast gored the 31-year-old twice in the groin and once in the leg
Frantic: A runner pulls on the tail of the bull in an attempt to distract it and make it drop the mauled man
Terror: Other runners tried to distract the animal by grabbing its tail and waving newspapers at it. But a friend was only able to drag him away after more than half a minute of terror
Emergency: The injured man, from the eastern Spanish province of Castellon between Barcelona and Alicante, was undergoing an emergency operation this morning. His condition was described as 'serious'
The half-ton beast gored the 31-year-old twice in the groin and once in the leg.
Dramatic TV pictures showed him being lifted in the air on the animal's horns with his trousers round his ankles.
Other runners tried to distract the animal by grabbing its tail and waving newspapers at it.
But a friend was only able to drag him away after more than half a minute of terror.
The injured man, from the eastern Spanish province of Castellon between Barcelona and Alicante, was undergoing an emergency operation this morning.
His condition was described as 'serious.'
Agony: A 20-year-old American was gored in the stomach and a 42-year-old Spaniard in the arm
Vicious: A man winces in pain as he is gored by a bull - six people in total were taken to hospital after today's run, the sixth of eight
Treatment: Red Cross personnel look after a runner or 'mozo' after being gored by a bull from Pilar ranch, during the sixth bullrun of Sanfermines
Emergency: Red Cross personnel carry a runner on a stretcher to receive treatment after being gored
Surgeons were also operating on the American gored in the stomach by another bull earlier along the half-mile run through the town of Pamplona in northern Spain.
The government press office identified the American gored only by his initials - P.E. - and gave his age as 20.
He and a second American, aged 48 and thought to have suffered head injuries, were also described as being in a 'serious' condition.
Six people in total were taken to hospital after today's run, the sixth of eight.
The gorings were the first of this year's festival, in which just 15 runners had been taken to hospital over the first five days.
Tradition: Revelers from around the world arrive to Pamplona every year to take part on some of the eight days of the running of the bulls
Annual event: Fifteen people have been killed at the annual festival, made famous by a 1926 Ernest Hemingway novel, since records began in 1911
Run: The event has become increasingly popular with foreigners, who join the locals by staying up all night drinking and partying before thousands compete in the 8am run
Draw: Pamplona's population of 200,000 swells to around two million during the festival, the largest in Spain
Aggression: An 'El Pilar' fighting bull charges against a reveler
Count: Hospital authorities initially said four people were gored but the regional government revised that down to three
Fail: The woman does not succeed as she runs ahead while the bull makes contact
Sport: A young woman tries to outrun a bull at the close of the running-with-the-bulls in the old city of Pamplona
Duration: Today's event lasted just under five minutes, roughly double the normal length. Longer runs normally occur when some of the bulls get separated from the pack and become disoriented and more dangerous
The black bull which caused most panic Friday made several more attempts to charge people before he was eventually guided along the narrow streets to join the rest for the pack in the pen of the packed bull ring
Legend: Ernest Hemingway popularized the week-long fiesta in his book The Sun Also Rises in 1926
Deaths: The fighting bulls used in the centuries-old fiesta can weigh up to at 1,380 pounds (625 kilograms) and have killed 15 people since record-keeping began in 1924
They included gas firm worker John Bennett, 44, from Wolverhampton, who suffered knee injuries on the first run on Sunday after being trampled on by other runners as he fell near the end of the course.
Fifteen people have been killed at the annual festival, made famous by a 1926 Ernest Hemingway novel, since records began in 1911.
Between 200 to 300 people are usually injured each year.
The most recent death was in 2009 when 27-year-old Daniel Jimeno, from Madrid, was gored in the neck by a bull called Capuchino.
The event has become increasingly popular with foreigners, who join the locals by staying up all night drinking and partying before thousands compete in the 8am run.
Pamplona's population of 200,000 swells to around two million during the festival, the largest in Spain.
After each morning run, the animals are killed in an afternoon bullfight.
Around 3,500 thrill-seekers compete in the most popular weekend runs with 2,000 taking part during the week
Read more: http://www.dailymail.co.uk/
Alhamisi, 11 Julai 2013
IJUE HISTORIA YA CHAMA CHA MURSI WA MISRI ALIYENG'OLEWA MADARAKANI. NI MUSLIM BROTHERHOOD.
Muslim Brotherhood ni nani?
Nembo ya Muslim Brotherhood
Ushindi wa kihistoria wa
Mohammed Mursi wa chama cha al-Ikhwan al-Muslimun ( Muslim Brotherhood )
katika uchaguzi wa Rais wa Misri kunabainisha mapinduzi ya vuguvugu la
wanaharakati wa Kiislamu nchini humo ambako liliasisiwa na kupigwa
marufuku kwa miongo kadhaa.
Hilo ndilo vuguvugu kongwe na kubwa kabisa la
Kiislamu katika Misri;ikimaanisha kua mafunzo ya Quraan ndio msingi wa
itikadi zake.Kundi la al-Ikhwan al-Muslimun lilianzishwa na Hassan al-Banna katika miaka ya 1920 na limeyahamasisha mavuguvugu ya harakati za kiislamu duniani kote kwa siasa zake pamoja na shughuli zake za hisani na ufadhili wa Kiislamu.
Mwanzoni vuguvugu hilo lilikua na lengo la kusambaza maadili ya Kiislamu,lakini mara likajiingiza katika siasa hasa katika mapambano ya kuungo'wa utawala wa kikoloni wa Uingereza na kuitakasa Misri na athari zote za nchi za Magharibi.
Ingawa kundi la Ikhwan linasema linaunga mkono misingi ya kidemokrasia moja ya malengo yake makuu ni kuunda taifa la Kiislamu linaloongozwa na mfumo wa Sharia za kiislamu. Mojawapo wa kauli mbiu zake inayotumika dunia nzima ni "uislamu ndio suluhisho".
Mapinduzi
Baada ya kuunda Muslim Brotherhood mnamo mwaka 1928, matawi yalianzishwa nchini kote--kila moja likiendesha msikiti,shule na klabu cha michezo.na wanachama wake wakaanza kukua kwa haraka.
Hassan al-Banna aliuwawa na mtu asiejulikana mnamo mwaka 1948. Na mwishoni mwa mwongo wa 1940, inaaminiwa kikundi hicho kilikua na takriban wafuasi millioni mbili nchini Misri na mawazo yake yalisambaa katika Bara Arabu yote.
Wakati huo huo, Banna alianzisha tawi la kijeshi lilioitwa "zana Maalum" ambao wafuasi wake walijiunga na mapambano dhidi ya utawala wa Uingereza na kuhusika na kampeni za mashambulizi ya mabomu na mauaji. .
Serikali ya Misri ilikivunja kikundi hicho mwishoni mwa mwaka 1948 kwa kushambulia maslahi ya Waingereza na Mayahudi.. Muda mfupi baadae kikundi hicho kilishtumiwa kwa kumuua Waziri Mkuu Mahmoud al-Nuqrashi.
Banna aliyalaani mauaji hayo lakini yeye mwenyewe hatimae aliuwawa kwa kupigwa risasi na watu wasiojulikana--inaoaminiwa walikua askarfi wa usalama.
Mnamo mwaka 1952, uitawala wa kikoloni ulimalizika kufuatiya mapinduzi ya kijeshi yaliyoongozwa na kikundi cha maafisa vijana waliojiita "Maafisa Huru".
Kundi la Ikhwan lilichangia kiasi katika mapinduzi hayo. - Anwar al-Sadat, aliyeshika wadhifa wa Rais mnamo mwaka 1970 aliwahi kua afisa wa uhusiano wa Maafisa Huru- na kwanza lilishirikiana na serikali mpya laini uhusiano mara ukaharibika.
Baada ya kushindwa njama ya kumuuwa Rais Gamal Abdul Nasser mnamo mwaka 1954, kundi la Ikhwan ndilo lilioshtumiwa kuhusika na likapigwa marufuku na maelfu ya wafuasi wake walifungwa jela na kuteswa. Hata hicho kundi hilo liliendelea kuimarika chini kwa chini .
Mgongano huu na serikali ulisababisha mageuzi muhimu katika itikadi za Ikhwan, yaliobainishwa na maandishi ya mojawapo wa wafuasi wake mashuhuri , Sayyid Qutb.
Qutb alihamasisha matumizi ya mapambano ya jihad dhidi ya jamii "jahili" za kijinga., ziwe za nchi za Magharibi ama zinazojiita kua za kiislamu ambazo alihoji kwamba zilihitaji mageuzi makubwa.
Maadishi yake hasa yale katika kitabu chake cha kumbukumbu kilichochapishwa mwaka mwaka 1964 --kiliyahamasisha makundi mengi ya kiislamu mkiwemo Islamic Jihad na al-Qaeda.
Mnamo mwaka 1965, serikali kwa mara nyingine tena ililenga Ikhwan,ikimyonga Sayyid Qutb mnamo mwaka 1966 na kwa hiyo kumgeuza kua shujaa katika eneo kanda nzima. .
FYEKA FYEKA
Katika miaka ya 1980 Ikhwan ilijaribu kujiunga tena katika mkondo wa kisiasa.
Ikhwanl Muslimin -ni kundi ambalo rasmi limepigwa marufuku ambalo mara kwa mara limejikuta likikandamizwa. Viongozi kadhaa waliunda ushirikiano na chama cha Wafd mnamo mwaka 1984, na vyama vya Labour na Liberal mnamo mwaka 1987,na kua nguvu kuu ya upinzani nchini Misri . Mnamo mwaka 2000, Ikhwan ilishinda viti 17 katika bunge la wanannchi.
Miaka mitano baadae,Ikhwan ilipata matokeo bora kabisa ya uchaguzi ,wakati wagombea wanaojitegemea wanaoshirikiana nao waliposhinda asilimia 20 ya kura.
Matokeo haya yalimshtua sana Rais Mubarak. Serikali kisha ikakiandama Ikhwan na kuwawekakizuizini mamia ya wafuasi wake na kutangaza mageuzi kadha aya kisheria ili kukabiliana na muamko wa kundi hilo.
Katiba iliandikwa upya ambapo ilisisitiza kua vyama vya kisiasa visiwe na misingi ya kidini,wagombea huru walipigwa marufuku kugombea Urais na sheria za kupambana na ugaidi zilitangazwa ambazo zilitoa madaraka makubwa kwa vikosi vya usalama kuweza kuwakamata washukiwa na kuekea vikwazo mikusanyiko ya hadhara.
Viongozi wa chama tawala cha Rais Mubarak cha National Democratic Party (NDP) pia kilifanya bidii kuvunja nguvu za wapinzani katikauchaguzi wa bunge wa November 2010 .
Lakini juhudi zao ziligonga mwamba -baada ya madai ya njama za kuiba kura pale ilipobainika kwamba wagombea waliofungamana na Ikhwan hawakushinda hata kiti kimoja cha bunge.
Ikhwan kilisusia duru ya pili ya uchaguzi Novemba 2010. Kikunsi hicho kikajiunga na vyama vingine vya upinzani katika hatua ya kususia na chama tawala NDP kikafadhaika kwa kushinda asilimia 80 ya viti vya bunge.
Upinzani kuendelea kukandamizwa ni mojawapo wa vichocheo vikuu vya maandamano dhidi ya serikali mnamo Januari 2011, ambapo makao makuu ya chama tawala cha NDP mjini Cairo yaliteketezwa/.
Ikhwan ililaumiwa kwa kuchochea ghasia ,lakini naibu kiongozi wao Mahmoud Izzat, alisisitiza kwamba yalikua mapinduzi ya umma.
Ingawa wafuasi wengi wa Ikhwan walijiunga na maandamano hayo ,walifanya hivyo bila ya kujitokeza waziwazi Medani Tahrir .
Lakini jinsi maandamano yalivyozidi kuunngwa mkono kwa wingi na serikali kuridhia madai kadhaa mkiwemo Rais Mubarak kutogombea tena Urais ndipo kundi hili kubwa kabisa la upinzani nchini Misri likaanza kujitutumua.
Mwanzoni mwa Februari 2011, uongozi wa Ikhwan ukatoa kauli: "tunadai kwamba utawala huu upinduliwe na tunadai kuundwa serikali ya muungano wa kitaifa wa makundi yote."
Halikadhalika walihudhuria mkutano ambao haujawahi kufanyika kati ya serikali na upinzani. Mazungumzo hayo yaligeuka kua vita vya maneno huku Ikhwan wakikataa hoja ya Makamo Rais Omar Suleiman kwamba watafute maridhiano ,lakini mualiko huo ulikuwa ni kama wametambua kuwa kundi la Ikhwan linaungw amkono na wengi na pia ni muhimu katika vuguvugu la maandamano.
'Halmashauri ya wanazuoni '
Umaarufu huu wa Ikhwan ulizusha upya mjadala kuhusu wangefanya nini pindi wangeshika udhibiti wa siasa nchini Misri.
Wakosoaji wengi hasa nchini Marekani walikumbusha muongozo wa kisiasa uliochapishwa na kundi hilo mnamo mwaka 2007, ambao ulihimiza kuundwe halmashauri kuu ya wanazuoni kuthibitisha sheria zote zinzopitishwa na taasisi za kiraia za Misri.Muongozo huo pia ulisema kwamba wanawake na wakristo hawawezi kua Rais au makamo Rais.
Hata wafuasi wenye msimamo wa wastani hawakukubaliana na muongozo huo ingawa wakereketwa walisistiza kwamba katiba inasema waziwazi kwamba Uislamu nduio dini ya taifa na sharia za kiislamu ndio msingi wa sheria kuu nchini.
Ni wazi kwamba viongozi wa Ikhwan wamejitolea kuimarisha hadhi ya Uislamu katika maisha ya wananchi wa Misri ,na kuuweka zaidi mfumo wa Shariah katikati ya sera za taifa.
Lakini mjumbe mwaandamizi wa Ikhwan, Issam al-Aryan, ameiambia BBC kwamba wanataka "taifa la raia kwa mujibu wa misingi ya kiislamu". Taifa la kidemokrasia,lenye mfumo wa bunge ,lenye uhuru wa kuunda vyama,uhuru wa vyombo vya habari na mahakama huru na za haki.
MKENYA WA KWANZA KUSAJILIWA LIGI KUU YA UINNGEREZA, NI WANYAMA.
Wanyama asajiliwa na Southampton
Victor Wanyama
Southampton imemsajili mcheza kiungo wa Celtic Victor Wanyama kwa kitita cha pauni milioni kumi na mbili na nusu.
Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 21, ambaye
alijiunga na Celtic kutoka kwa klabu ya Beerschot ya Ubelgiji mwaka wa
2011, amesaini mkataba wa miaka minne na Southampton.Wanyama, kutoka Kenya, aliteuliwa kuwa mchezaji bora mchanga katika ligi ya Scottland mwaka uliopita na alifunga bao wakati wa mechi yao ya kuwania kombe la klabu bingwa barani ulaya dhidi ya Barcelona ambayo Celtic iliibuka na ushindi wa goli moja kwa bila.
Kiasi hicho ndicho cha juu zaidi kwa mchezaji yeyote kuuzwa nchini Scottland.
Wanyama vile vile amevunja rekodi ya kuwa mchezaji wa kwanza kutoka Kenya kushiriki katika ligi kuu ya Premier ya England.
Kwingineko Swansea imekamilisha usajili wa Wilfreid Bonny kutoka kwa klabu ya Vitesse arnhem ya Uholanzi kwa kitita cha pauni milioni kumi na mbili kiwango ambacho ndicho kubwa zaidi kwa klabu hiyo kumnunua mchezaji yeyote.
Hata hivyo usajili huo utategemea ikiwa mchezaji huyo atapewa kibali cha kufanya kazi nchini England.
Bonny ambaye alikuwa amesaini mkataba wa miaka minne na klabu hiyo ya uholansi, alifunga magoli 21 baada ya kucheza mechi 30 msimu uliopita pekee.
Klabu ya Westham vile vile ilikuwa imewasilisha ombi la kutaka kumsajili mchezaji huyo kutoka Ivory Coast lakini Swansea ikafanikiwa kwa kutoa kiasi cha juu.
Jumatatu, 8 Julai 2013
Jumapili, 7 Julai 2013
AJALI MBAYA: BASI LA SUMMRY LAUA WATU TISA NA WENGINE KUJERUHIWA VIBAYA MKOANI KATAVI BAADA YA KUTUMBUKIA MTONI.
Basi la kampuni ya Sumry limetumbukia mtoni Iku na kuuwa watu tisa na kujeruhi wengine hamsini na tatu.
Ajali hiyo imetokea katika kijiji cha Sitalike wilaya ya Mlele mkoani Katavi
Tukio hilo la kusikitisha lilitokea saa sita usiku kuamkia Julai 5, 2013 basi hilo lilipokuwa likitokea mjini Sumbawanga kuelekea Mpanda mkoani Katavi likiwa na abiri waliokuwa wametoka Mbeya
Kaimu Kamanda wa Polisi mkoani Katavi Emanuely Nnley alisema jana kuwa ajali hiyo ilihusisha basi aina ya Nissan Diesel lenye namba T909 AZT mali ya kampuni ya Sumry lililokuwa likiendesha na dereva aliyetajwa kwa jina na Stephano Chimane maarufu kwa jina la Ntungu
Alisema basi hilo lilipofika katika daraja hilo lenye kona kali na mteremko dereva wake alishindwa kulimudu na kulenga daraja hali iliyosababisha tairi za nyuma kupanda juu ya ukingo na kutumbukia mtoni ambapo dereva wa basi hilo aliweza kutoka na kukimbilia kusikojulikana
Mkuu wa mkoa wa Katavi Dr Rajabu Rutengwe alitoa rambi rambi kwa wafiwa wote na kuwapa pole wahanga wa ajali hiyo mbaya kutokea tangu mkoa huo uanze.
mwisho
Credit to http://lukwangule.blogspot.com via mbondelewis
Jumatano, 3 Julai 2013
MANDLA MANDELA ASHITAKIWA KWA KUHAMISHA MAKABURI.
Jamaa za familia ya aliyekuwa rais wa Afrika Kusini, Nelson Mandela, wamewasilisha kesi ya uhalifu dhidi ya mjukuu wa Mandela,Mandla Mandela.
Inahusisha maiti za watoto watatu wa Mandela ambao inaaminika walifukuliwa na Mandla kutoka makaburi ya familia miaka miwili iliyopita.
Katika kesi nyingine, jamaa kumi na sita wa familia ya Mandela, wanataka kurejesha miili hiyo katika kijiji cha Qunu, ambako Mandela, ambaye anaumwa sana hospitalini anataka kuzikwa akifa.
Kesi hiyo inayosikilizwa katika mahakama kuu ya Mthatha, katika mkoa wa Mashariki iliakhirishwa hapo jana kuanza kusikilizwa leo.
Wiki jana, mahakama ilitoa amri ya muda kwa maiti za watatu hao kuhamishwa kutoka nyumbani kwa Mandla katika kijiji cha Mvezo hadi Qunu, umbali wa kilomiya 22.
Lakini Mandla Mandela, ambaye alitawazwa kama kiongozi wa kijamii na babu yake, sasa anapinga vikali amri hiyo
Jumanne, 2 Julai 2013
OBAMA AHITIMISHA ZIARA YAKE AFRIKA, AWAAGA WATANZANIA NA KUAHIDI NEEMA KIBAO.
Rais Obama akiwaaga watanzania waliofika katika Uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.
- Rais Obama alikuwa nchini katika ziara ya kikazi ya siku mbili ambapo ametaja vipaumbele vinne vya Marekani kwa Tanzania, ambavyo vinajumuisha miradi mbalimbali ya umeme, miundombinu ya barabara, maji na programu za kielimu kwa vijana kwa lengo la kuongeza ajira.
Dar es Salaam. Rais wa Marekani Barack Obama amehitimisha ziara yake ya Afrika mapema leo, kwa kutembelea mradi wa uzalishaji umeme wa Symbion Ubungo, jijini Dar es Salaam.
Katika hotuba yake Ubungo, Rais Obama alielezea jinsi mkakati wa serikali yake wa kuhakikisha Afrika inapata umeme utakavyoboresha maisha ya wakazi wa bara hili.
Mapema leo asubuhi, Rais Obama aliungana na Rais wa zamani wa Marekani George Bush kuweka shada la maua kuwakumbuka wahanga wa shambulizi la kigaidi la ubalozi wa Marekani mwaka 1998.
Katika ziara yake ya siku mbili iliyoanza jana nchini Tanzania, Rais Obama amesisitiza umuhimu wa kuboshesha mahusiano ya kibiashara kati ya Afrika na Marekani.
Wakati wa ziara yake, Obama aliahidi kutilia mkazo vipaumbele vinne vya Marekani kwa Tanzania.
Marekani itaisaidia serikali ya Kikwete kuboresha miradi mbalimbali ya umeme, miundombinu ya barabara, maji na programu za kielimu kwa vijana kwa lengo la kuongeza ajira.
Jijini Dar es salama, Barabara za Ally Hassan Mwinyi, Mandela, Sam Nujoma na ile ya Morogoro zilifungwa kwa muda kuanzia majira ya saa tatu asubuhi huku maelfu ya wananchi wakitanda barabarani kwa lengo la kumuaga rais huyo.
Mara baada ya kufika katika uwanja wa Ndege Rais Obama na Mkewe walitumia muda mfupi kuagana na mwenyeji wao Rais Kikwete na mkewe ikiwa ni pamoja na kuwaaga mamia ya viongozi waliofika uwanjani hapo.
Mikakati ya Marekani Afrika
Kiongozi huyo aliwasili Dar es Salaam jana mchana ikiwa ni nchi ya mwisho katika ziara yake barani Afrika ikitanguliwa na Senegal na Afrika Kusini.
Akizungumza na waandishi wa habari pamoja na Rais Jakaya Kikwete Ikulu, Rais Obama alisema aliainisha mambo hayo wakati alipozungumza na mwenyeji wake huyo.
Alisema katika mazungumzo hayo, waligusia mradi mkubwa wa umeme uitwao Power Afrika wenye lengo la kuongeza kiwango cha umeme kinachozalishwa nchini na barani Afrika ili kupata umeme nafuu na wa uhakika utakaochagiza kuongeza uzalishaji na kukuza ajira.
Chanzo; Gazeti la Mwananchi
Chanzo; Gazeti la Mwananchi
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)