MWENYEKITI WA TUME YA UCHAGUZI NA MIPAKA YA KENYA I.E.B.C BW. HASSAN ISACK AMEMTANGAZA BW. UHURU KENYATTA KUWA NDIYE MSHINDI WA URAIS KATIKA UCHAGUZI WA MWAKA HUU 2013 BAADA YA KUPATA USHINDI WA ASILIMIA 50.07 HIVYO KUFANYA UCHAGUZI WA AWAMU YA PILI USIWEPO. JAMES KIAPI, MARTHA KALUA, MOHAMED DIDA , MUSARIA, KUVUITO, PETER KENETH, RAILA ODINGA AND UHURU KENYATTA THE WINNER.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni